Kumbe Rais anapewa Milioni 60 kila mwezi kufanyia chochote anachoona kinafaa? Utaratibu gani huu?

Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Mmmmmh
 
mbona hazimtoshi, kutawala nchi masikini ni shida mno, huku hamna maji, huku hamna dawa, maradola iwe changamoto, hadi anafikia kuomba ushauri kwa mafuru, ukienda kujichanganya kwa wakubwa nako shida, unaongea chef anaanza kugawa wali wote wanaacha kukusikiliza wanawahi sahani
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Mkuu wa Mkoa anapewa ,Mkuu wa Wilaya anapewa pia zinaitwa hela za mchango Kwa jamii.

Mfano unakuta Rais kaalikwa au Kiongozi yeyote wa Serikali unategemea akiombwa au kuwiwa mchango atoe kwenye mfuko wake? Huko ndiko Kuna goli.la mama,Kuna zile hela Mwendazake alikuwa anagawa barabarani nk nk.

Mwisho hiyo ni pesa ndogo sana ni vile maskini mna shida sana kichwani mwenu.

Ngoja mumchague maskini mwenzenu Lisu huko tuone mtakavyoneemeka 🤣🤣
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Hakuna tatizo hiyo kitu ...bora kuwa na rais mzalendo mwenye akili tu ila akiwa kinyume na hapo basi atafanya ufisadi na upumbavu wa mabilioni ya dollar kama sasa anavyo fanya Samia
 
Mkuu wa Mkoa anapewa ,Mkuu wa Wilaya anapewa pia zinaitwa hela za mchango Kwa jamii.

Mfano unakuta Rais kaalikwa au Kiongozi yeyote wa Serikali unategemea akigombea mchango atoe kwenye mfuko wake? Huko ndiko Kuna goli.la mama,Kuna zile hela Mwendazake alikuwa anagawa barabarani nk nk.

Mwisho hiyo ni pesa ndogo sana ni vile maskini mna shida sana kichwani mwenu.

Ngoja mumchague maskini mwenzenu Lisu huko tuone mtakavyoneemeka 🤣🤣

Chawa wa Lumumba naona uko shift muda huu unatetea 20k yako ya kesho.

Saa 9 hii hata Samia mwenyewe kalala na familia wewe huko humu unabishana kumtetea.

Una kazi ngumu sana
 
Na utaratibu huu kajianzishia samia.mwanzo hakikuwa hivyo.hatari sana Huyu mama.Anataka kuifilisi Nchi yetu iliyoanza kumeremeta kabla ya kurithi yeye.
 
Chawa wa Lumumba naona uko shift muda huu unatetea 20k yako ya kesho.

Saa 9 hii hata Samia mwenyewe kalala na familia wewe huko humu unabishana kumtetea.

Una kazi ngumu sana
Haijafika 20k ni 8k tuu Mkuu bila kuitetea maisha hayaendi wewe tetea kina Lisu wa Amsterdam utatoka
 
Huwa kuna 10mil kila mara rais anapotoka ikulu,hz ndo zilikuwa zinamfanya magufuri anunue jogoo kwa mil 5
 
Changamoto za uwahibikaji hata Marehemu alishindwa kwa wasaidizi wake kumsaidia
Nchi kuiongoza kama hii ni kazi sana

Basi kwa sasa mmejua kwanini anagawa mahela kwa goli
Hizi hela at least Magu alikuwa anatoa sadaka
Anazunguka nazo akiina mahindi ya kuchoma ananunua, samaki haya
Anaelalamika mpige 5m
Mchango wangu na mimi 10m
Tz oyeeee
 
Wakuu,

Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?

Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.

Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?

Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?

==============================================

View attachment 3180555

View attachment 3180558
Tanzania ni nchi ya ajabu Sana sana
 
Milini 60 au bilioni 60?
 
Hivi, Tshs 60 mil kwa mwezi kwa Mh. Rais ni fedha za kuongelea kweli kuwa ni nyingi? Hizi fedha ni ndogo sana kwa Mh. Rais, hii ni kama pocket money, ni ndogo sana, labda kama una akili ndogo hutajua majukumu ya Mh. Rais wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom