Pamoja na umashuhuri huo, kipi kinamzuia kujibu mashambulizi au kuonekana mahali akiendeleza umashuhuri wake ...!?Mmmh
Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini
Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,
Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??
Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
Kwamba Tanzia ya muhusika itawaumbua watoa thread kama hizi kumhusu muhusikaHii koment yako nzito mkuu
Kabisa !Tungekuwa Serious hivi katika kufuatilia matumizi ya Kodi zetu hakika tusingeibiwa.., na wala tusingehitaji kuomba misaada sababu zingetosha kutuhudumia na hata kutoa msaada...
Inategemewa ni aina gani ya maombi mkuu!Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.
"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."
Global TV
Na kwa mkurugenzi wa TISS alitabiri.Britanicca kajizolea umaarufu kwa nape,Sasa anawafungasha tu,atakulisheni Sana matango pori
Na wwe tuambie yuko hospital gani!?Hayupo likizo, tusifanyane wajinga.
SEMENI Ukweli ijulikane, Likizo ipi hiyo ya ghafla kama tumbo la kuhara.
Mambo niliyoyaona kwa macho yangu yanayofanya nimchukie ni haya...Hivi hasa huwa mnamchukia kwasababu gani? Mana mimi nashindwaga kuelewa chuki ya namna hii ilitokaga wapi
Jakaya alishasema hatuachiani maji mezani.Kwamba Tanzia ya muhusika itawaumbua watoa thread kama hizi kumhusu muhusika
Atafuta aliye zianzisha hizi story wala usiwe na haraka!!Chanzo cha uhakika ni yeye mwenyewe labda ajitokeze akiwa fit afute hizi stori.
Nambie chawa, uko poa na hiyo avatar yako!Atafuta aliye zianzisha hizi story wala usiwe na haraka!!
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?
Taarifa kamili hii hapa
"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.
"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."
Global TV
Niko poa,Niambie Kunguni,uko pao na hiyo avatar yako!?Nambie chawa, uko poa na hiyo avatar yako!
Ndo tatizo lenu Jf mna makasiriko sana!Mambo niliyoyaona kwa macho yangu yanayofanya nimchukie ni haya...
Alimpiga Mzee Warioba. Je wewe hili jambo linakufurahisha?
Alivamia pale clouds Fm akiwa na bastola mkononi na kufanya uharibifu. Je wewe hili jambo linakufurahisha?
Tuachane na hayo mengine ya kina Ben Saanane na Tundu Lissu ambayo anahusishwa nayo ingawa binafsi Sina uhakika. Hebu niambie kwa hayo mambo mawili niliyoyataja hapo juu wewe unaonaje? Unampenda kwa hayo mambo aliyoyafanya au ndo uchawa unakusumbua?!!!
AmenKama ni mkristo kweli basi hawezi kufariki kwa kunywa sumu
Mark 16:17,18
17 “Na hizi ndizo ishara zitakazoandamana na wale wata kaoamini: Kwa kutumia jina langu watafukuza pepo; watasema kwa lugha mpya;
18 wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona
Inaweza kuwa likizo ya matibabu, kwa hiyo hapo hajasema kitu. Watu makini hawawezi kuridhika na maelezo kama haya. Waandishi wa habari waliyakubali?"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.
"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."
Ati wakasema Mnadani kwa Jembe.Jpm mlisemaga yupo manzese anafanya shopingi kumbe....
Hoja ya kijinga; hatuko mahakamani hapaWeka ushahidi