Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

hata kwny mpira bado tuna interest ya kujua dini za Wachezaji ?

duu sijawahi kufikiria hili
Amekuwa akitushangaza inafahamika ni muislam ila hupiga ishara ya msalaba, Angalau sasa iko clear.

Watu msio angalia mpira mnaona kama hili ni jambo dogo, lakini ni kubwa kweli kweli.
Watu wa mpira hawapendi detail hata moja kuhusu mchezaji iwapite.
 
Ila nyie ni mazwazwa sana.
Mara muambiwe ukifa baada ya muda unaoza, alafu tena mara mnaambiwa mtapewa wanawake 72
Wewe ndio zwazwa mkubwa sana Mungu hawezi temewa mate na watu alio wafinyanga mwenyewe, hata baba yako ndani ukimtukana tu unapata laana
 
ingekuwa ina muhusu bwana ako muuza bisi makumbusho isinge kuwa story lakini kwa kuwa inamuhusu star lazima iwe story. style up biatch. dont be an icehall
Kiongozi unatakiwa ujue kuwa kwenye wengi Pana mengi.......ungempuuzia tu uendelee na wachangiaji wengine waliovutiwa na Uzi wako.....
 
Nilishangaa majina ya kina shabani kanda ya ziwa ila hakuna mwenye imani kutoka saudi arabia
Kipindi uislam unafika Kanda ya ziwa ....Misikiti mingi ilikuwa inagawa vyakula vya bure vijijini huko kwenye njaa ili kuwavuta watu....Sasa Watu walikuwa wanajiita/kuitwa hayo majina ili wakale ubwabwa wa bure misikitini
 
Kwa Kapombe angekufa bila huyo mama mlokole?
 
Kuna watu wakisikia hili wanajambajamba hao huku wakitaka kujinyongaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Looo hii nayo ni mada ya kujadiliwa, ndio maana nchi hii hatuendi mbele, Imani ya kiroho ya Mr.Shomari Kapombe humu JF inatuhusu nini?,inakera sana hichi kizazi cha dot.com
Lazima tuiongelee coz kuna watu wakisikia hivi hufikia hatua ya kujinyonga πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watoto wa mudy
 
Watu wa kanda ya ziwa sijui wapoje wanatumia majina yetu ya kiislamu halafu ni wakristo,wala nguruwe wakubwa.[emoji57]
Kumbe wapo wengiπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…