Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Mkataba wa hovyo, kataa kuwa mtumwa wa kiarabu kwa mara yapiliSijui kwa nini watu hawaoni umhimu na ufanis wa DPW na hawasemi tatizo ni nini wako too general.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba wa hovyo, kataa kuwa mtumwa wa kiarabu kwa mara yapiliSijui kwa nini watu hawaoni umhimu na ufanis wa DPW na hawasemi tatizo ni nini wako too general.
Huyo hapo Mrisho Mrisho akielezea kilichofanyika tayari bandarini mwezi Juni tu.
Sasa huyo Maria asijifanye anatoa siri kwa kitu kilichowazi na kimeelezewa na bandari yenyewe.
Yaani mnyama tunamuwinda sisi, jasho linatutoka sisi, kisha DP World anakuja kutuconvince kuwa yeye ana kisu kilali zaidi tumuachie mnyama atatumegemea mapande ya nyama na sisi tunakubali. Kama huu siyo uzwazwa ni nini?
Una uthibitisho wa hili?Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Haya Basi. Kumbe DPW walishaweka pua zao huko siku nyingi, wakisubiri tu wakati ili waje kijumla kutumbua!Umeambiwa report za World Bank na CAG. Tulipewa fedha $21M kwaajili ya mifumo na DP World ndio wametajwa watekelezaji! Jamani hapa hatufanyi siasa! This is very serious National matters. Binafsi sijasoma hizo report lakini kwa credibility ya Maria hawezi kusema jambo linalogusa taasisi nyeti bila ushahidi.
Inaogopesha sana!
Huna hoja.Acha kuwa mmpumbavu... Unajadilije uafanisi ambao haujauona?, Tahira wewe.
Asante.Siyo hapo tu hata rostamu anawekeza 200 million dollars Kenya lkn fedha ni ya kwetu sisi ndiyo tume guarantee mkopo maana yake ni kwamba akishindwa kulipa deni anayedaiwa ni Serikali ya JMTZ na siyo rostamu ingawaje faida inakwenda kwake na ajira Kenya, think about that kama siuo evil ni nini?
PossibleUnadhani DP WORLD Hizo Pesa watazitoa Wapi?!!! Au unadhani kuna mwekezaji anatumia his own money ? Usishangae yeye akatumia collateral ambao ni huo mradi kwenda kukopea kwa financiers kwahio mwisho wa siku ni asset yako wewe mwenyewe ambayo ime-facilitate huo mradi..
Yapo kwenye appendices 1 ya IGA uwekezaji watakaofanya DPW.Wamekiweka kwenye maandishi ama mdomoni ili wakulainishe moyo wako. Usiwe biased. Huyo mkurugenzi anaweza akapigwa fungu la maisha milele atetee una uhakika
Anapotosha juu ya uwekezaji uliofanyika tayari na unao tarajiwa kufanyika na DPW.Sasa wewe unachomlalamikia Maria hapa ni kitu gani?
Amejisifu wapi?
Whaat ?!!!!Possible
Lakini serikali yako ipo restricted ndio kwanza credit ratings wameipa B+ it’s a junk bond hakuna bank atakayokupa hela. Wewe unabaki na IMF, WB na donor countries.
Sasa kama DP anaweza pata mkopo huko shida yako ni good terms za ‘project agreement’ na transferable skills anazowaachia vijana wako nchini,
Mkuu bado hujajibu swali langu!Kuna kamati za bunge ndo zina utafiti neenda ukasome hasadi uone how bandari ya Dar inavo kua under utilised na mapato serikalini ni kidogo sana wizi ufisadi ndo umejikita sana pale......manaake tumeshindwa kuendesha hiyo bandari, kwanza niambie tulishawahi kufanikisha kuendesha nini?
Nimekuwa nauliza haya haya!Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Kati yakena wewe, ni bora nikubaliane na huo unaouita upotoshaji.Anapotosha juu ya uwekezaji uliofanyika tayari na unao tarajiwa kufanyika na DPW.
Kwa hiyo serikali ilipoboresha bandari kwa mkopo wa IMF haikununua mitambo wala tekinolojia?Hapana hao DP world wana kuja na mitambo yao pamoja na technology yao wana fanya oparation mantainance and investment manaake wata panua bandari iwe kubwa zaidi
Ingekuwa ni Rahisi hivyo Dp wananunua tu Mahali crane kwanini Ujerumani, Uingereza, Canada, China hawawezi nunua ZAO? Kwanini wamempa Dp?
Hivi vitu ni complicated sana ila sisi tunajifanya tu wajuaji sana.
Kampuni Zote kubwa Duniani zinapo Outsource hivi vitu lazima ziwe na mikataba ya kupewa Exclusivity Atleast Kwa Muda fulani