Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Dawa ni kuishi nao tu Kwa akili
 
Mbona kuna mahali niliona uliandika unapenda mwanaume mkali anayekukoromea...
Nadhani mikiki inayozungumziwa hapa ni ile mwanaume anakua na mwanamke zaidi ya mmoja, kucheatiana mara kudhalilishana mara ukute vitu vya ajabu kwenye simu yake, hujakaa sawa condom kwenye gari,. mara uskie ana mchepuko mahali, muanze kurushiana vijembe na watu ( haki huu uswahili siuwezi ) ilimradi tu tafrani,. mda wote mwanamke inabidi upambane ili wewe uwe bora kuliko wengine na maugomvi yote ya namna hiyo,.

Napenda mwanaume wa kwangu pekeyangu, ambaye akisema kitu nafanya na mimi ananiskiliza,. Hiyo ukali ni personality tu na kwajinsi mimi nilivyo na mambo mengi mwanaume wangu lazima awe na sauti ili tuende sawa
 
hii naisikia kwa wanawake wengi sana

kwahiyo mwanaume akiongea kwa upole hamsikii, hamuelewi au inakuwaje?
sijajua kwa wengine,.

But To me kuna mifumo yangu ya maisha ambayo nimejitengenezea ,ninaiamini na ninayaishi tangu nikiwa mdogo ili mtu aweze kunishawishi kupita njia yake kwenye jambo lolote lile kama mwanaume anatakiwa awe na akili timamu, vitendo pamoja na mamlaka ( ukali pia kama itawezekana) ndipo tuende sawa..

kwangu nikisema mambo mengi unatakiwa utafsiri kwa namna hiyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Emanuel Macron Rais wa Ufaransa juzi akiwa amefika Vietnam na mkewe, wakati anashuka kwenye ndege mkewe kile kibibi kilimpiga kofi paap bila sababu, na akatulia na dunia nzima ikaona, wanawake wengi wanapenda drama sana ndio utaishi nao, usiwaweke kila kitu wazi, kuna mambo hutakiwi asilani kumwambia mwanamke.

Pia kitandani ujue anataka nini, ni kumpeleke huko huko anakotaka
 
Hiyo tabia yenu ndiyo inawafanya wengi wenu muangukie kwa wahuni/maplayboy/mme wa mtu na kuishia kuwa single mother. Unapata mtu katulia anaanza kuleta wenge na dunia ya sasa watu walio tulia na waaminifu wapo wachache kweli,kama ulimpata na ukamwacha sahau kumpata mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ