Kumbe wanawake wanapenda mahusiano yenye mikikimikiki

Nilitamani kuanzisha uzi wa hii ishu...
Duu yule mbibi hivi daah hivi yule macron alilogwa kumuoa huyo jamani..mhh hivi unajua sielewi
 
Mhhh aisee
 
Nashukuru sana mkuu.

Inaonekana kuna mahusiano kati ya kusema kitu kinachosumbua na kuondoka kile kitu.

Je kuexpress jambo hilo ni mara moja na kwa mtu mmoja pekee inatosha kuexptress ama ni lazima iwe kwa watu tofauti na iwe mara nyingi nyingi?
Unaweza kuexpress kwa mtu mmoja au watu tofauti tofauti (unaowaamini) ila unavyoexpress mara nyingi zaidi ndivyo unavyozidi kuutua huo mzigo na kuona lile jambo lililokutokea ni la kawaida.

Pia usiruhusu ubongo wako kutafakari kuhusu hiyo trauma. Ukiona unaanza kuwaza kuhusu hilo jambo ni vyema ukafanya jambo lingine kama vile kusoma kitabu au meditation.
 
Baada ya kupigwa matukio kwenye mahusiano huko nyuma nashukuru nilikuwa too young so nikakomaa mapema.
No kueleweka
 
Usipomchokoza atakuchokoza, kimsingi kama mwanamme unatakiwa usitabirike kwa mwanamke mpige zigzagi za maana na huku ukifocus kwenye maendeleo.
 
Hao ni wanawake ambao hawajitambui na hawajui nini wanataka .

Maana Kama hawapendi Amani maana yake wanapenda VITA .
Ni lini waliwahi kujitambua na kujua wanataka nini?

Picha linaanza tu, ananyoa nyusi, anachora wanja. Utajua wewe sasa kinachotafutwa ni kipi
 
Mkuu kama kuna kitabu kinaelezea haya mambo nitajie nikitafute.

Maana nimejikuta nawaonea huruma wanangu tokea nianze kuyafuatilia haya mambo na kugundua kwamba malezi ndio humtengeneza mtoto.

Najikuta nimekuwa mtu wa tofauti sana kwa wanangu na hiyo inanisaidia sana kwa sababu naona ninakwenda nao vizuri
 
We we mwanamke mm nakuta
 
Mhh kumbe ndo yaliyojiri kwny kesi ya pididi....aiseee
Na huyu Pdiddy kawanywesha wengi kamkojo kake- hii kesi imeibua mambo mengi ni Kama vile huyu mtu Ana pepo la ngono la kuwalambisha watu mavi na kuwanywesha mkojo. Ni basi tu wengine wako kimya, lakini kesi imeibua mengi- ifuatilie
 
Nilitamani kuanzisha uzi wa hii ishu...
Duu yule mbibi hivi daah hivi yule macron alilogwa kumuoa huyo jamani..mhh hivi unajua sielewi
Aliwahi kuhojiwa kipindi kawa rais, alikiri kuwa yule mbibi aliwahi kuwa mwalimu wake na alimfumdisha, alimpenda tangu akiwa mdogo
 
Mood swings nyingi ni drama tu za wanawake ,wengi wakifikisha 30 age na hawajaolewa wanakua watulivu
 
Wewe nifala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…