Mkuu Nayakumbuka maovu yake yote,Najua huko alipo anavuna lakini kwa mustakabali wa nchi yetu lazima tukatae hiki kinachoendelea cha kutaka kumtumia yeye kama kafara wakati ukweli tatizo letu ni mfumo
 
Kwa hiyo mlitaka CAG asome ripoti gani? Nyie si mlikuwa mnampangia cha kusema?? Sasa ameamua aseme maana anaruhusiwa.. kazi kwenu kumsafisha mwendazake
Mkuu unafikiri hiki alichosema hajapangiwa?Mkuu shtuka.Kaisome Ripoti ya CAG pamoja na ripoti za miaka ya nyuma utaelewa ninachosema.
 
Wabingo bwana! Mambo Haya yanayoshangiliwa Leo kutokana na ripoti ya CAG inanikumbusha enzi ziiileee za JK. Watu walishangilia kwa kika lililoibuliwa ila hakuna hatua zilizochukuliwa na maisha yakaendelea. Kwa kifupi nchi hii watu wake walio wengi hawako smart kichwani! Pia kuna tofauti ndogo sana kati ya aliyeenda Shule na asiyeenda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa...Ila punguza muknkari watu wamevurugwa hawakuelewi😆😆😆 umesababusha Mimi nijifunze kuandija Shairi asubuhi hii
Mkuu Nayakumbuka maovu yake yote,Najua huko alipo anavuna lakini kwa mustakabali wa nchi yetu lazima tukatae hiki kinachoendelea cha kutaka kumtumia yeye kama kafara wakati ukweli tatizo letu ni mfumo
 
Asante Mkuu kwa hii comment.
 
Wasukuma bhana walishazoea kuongozwa kama ng'ombe machungoni sasa mchungaji kaondoka zake wanaona maisha ndio basi tena.

Itawachukua muda kuzoea hali walio nayo.

Muacheni Rais sasa aongoze nchi

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
simameni kwa nguvu zote kumtetea mh hayati mpendwa makufuli anachafuliwaaa jina lake watanzania mnaompenda mungu na mnaotaka mungu asituhukumu simameni kwa marehemu
 
Niseme tu kuwa Mungu akusamehe maana hujui ulisemalo na hujui kuwa unacheza ngoma ambayo mpigaji wake humfahamu!
Mabeberu waña hasira na miradi ya kutukwamua dhidi ya utegemezi kwao! Wana hasira na mradi Wa Stigler's Gorge japo umekamilika kwa karibuni asilimia 50, watasema ni faida zaidi kuachana nao na kuwaza wa gesi wakati gesi tayari tulishawakabidhi mabeberu.
Wana hasira na reli ya SGR! bila aibu watakuambia achana mradi huo una gharama sana! Ninachomshukuru Mungu vibaraka wa mabeberu wamejitokeza hadharani na tumewafahamu! Kinachosikitisha ni kuwa ni wale wale waliokuwa wanamsifu enzi za uhai wake! Huo ni unafiki wa kiwango cha kuzimu! Niseme tu kuwa watanzania kwa ujumla wetu(ukiacha wachache walio vibaraka wa mabeberu na waumini Wa ufisadi) hatukubali! And do not underestimate us!
 
Akili zako na zangu zinafanana bila shaka.
 
expand...
MATAGA mmepatwa na kiwewe.

Pambio mfukulizo niaka 5 limewalemaza kabisa, mmekuwa vibudu. Jiwe aliwashika vibaya sana.

Mambo ya brainwashing na cultifollowing.

Niseme tu CORONA BABA LAO. Mtu kazikwa na mavi yake😂😂😂😂
 
Rais anakwenda kuwajengea majumba ya faghari Marais wastaafu. Unaweza kujiuliza hawa hawakuwa na nyumba zao binafsi? Au hawakupewa nyumba nzuri na Serikali? Mapesa yalotumika kujenga majumba ya nyongeza kwa wastaafu afadhali zingeingizwa kwenye Elimu au Afya.
 
simameni kwa nguvu zote kumtetea mh hayati mpendwa makufuli anachafuliwaaa jina lake watanzania mnaompenda mungu na mnaotaka mungu asituhukumu simameni kwa marehemu
Ripoti zote zipo hapa
 
Mkuu,Laiti ungelijua kwamba kuna zaidi kwenye hizo nyumba za marais wastaafu.Any way.Ninachojua mimi ni kwamba JPM alikuwa mmoja kati ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea na yote ni kwa sababu tuna mfumo hovyo wa kupata viongozi na kuendesha nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…