Wew upo mbali kajaribu kukaa na Ndugai utajua kama Magufuli alikuaje?
 
Tatizo ni one man show na hakuna mfumo...ni rahisi kabisa legacy kupotea
 
Legacy ipi kwanza? Mbona nshasahau kama tushawahi kuwa na mkuu wa inji aitwae magu?
 
Mjerumani amejenga nini mpaka ukifnanishe na mkaburu wa S.A ambaye anaishi pale mpaka leo? no naonaga waTanzania wengine ni kama mna ukichaa tu
Aisee.hivi hujui mji wa dar er salaam,tanga,tabora,ni very kazi ya mjerumani,reli,viwanja vya ndege network ya barabara za leo za kuunga mikoa,soma historia au tembea uone oysterbay na posta ya zamani
 
Aisee.hivi hujui mji wa dar er salaam,tanga,tabora,ni very kazi ya mjerumani,reli,viwanja vya ndege network ya barabara za leo za kuunga mikoa,soma historia au tembea uone oysterbay na posta ya zamani
Ndiyo legacy yao
 
Huyo hana cha Legacy wala nini, alikuwa ni chinja chinja tu, yeye afe salama tu. Aliua watu akifikiri yeye angetawala milele sasa yuko wapi huyo dikteta uchwara.
 
Kasi ya kina Mbowe, Lisu ,Msigwa, Lema na Nape, Makamba na Chadema kwa ujumla kushambulia hayati Magufuli imeishia wapi?

...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
 
ben saanane anathamani kuliko hiyo miradi yote
 
MATAGA, unapata tabu zote hizi ukiwa pande za wapi? Kila siku ni Legacy! Legacy! Kwani huyu MAMA naye si alikuwa ni Msaidizi mwaminifu wa Hayati! Tatizo liko wapi?
 
Kizuri kinajiuza tu na kibaya kina jitangaza amefanya mazuri machache ila mabaya ni mengi na akija mtu akafanya mabaya machache ila mazuri mengi atasahaulika tu itabaki kumbukumbu tu kama ya baba wa Taifa ambayo ina impact kwenye makaratasi tu ila sio kma ya mkapa n kikwete ambayo tuna iishi ya kubadilisha nchi na maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…