Corona ndo iliyofuta legacy ya Bwanako, hao wengine unawasingizia tu. Pambana na Corona kulipa kisasi.
 
Mkuu,

Umeona picha iliyopigwa wakati makamu wa Rais ametembela kaburi la JPM Chato?

Ni dharau kubwa sana kujenga banda la mabati na mashada ya maua yaliyokauka kurundikwa kama stoo ya ya kuhifadhi vyakula vya mifugo.

Kaburi la JPM ni sawa na mwenge wa Uhuru.

Makamu wa Rais Philip Isdori Mpango kaburi umeliona kwa macho yako jinsi lilivyo na wala hamshituki kesho yenu inafananaje?

Kweli kiongozi wenu aliyewavua kutoka huko msikojulikana, sasa hana kauli mnaenda kushangaa mahali alipofunikwa kisha mnaondoka mkiwa na kauli za binadamu, mkipumua, kuongea, kutabasamu na kuhuzunika lakini wapi, kelele za kumbeza za adui zake zinawapumbaza kiasi hicho? Hii ni Tanzania au ni nchi jirani, utamaduni gani mnautengeneza. Mkapa alipofariki, JPM alienda yeye mwenyewe kushuhudia ni wapi alipokuwa anazikwa na kwa hadhi gani leo ninyi mnathubutu kukifanyia hivyo kiwiliwili chake chake kilicholala bila kauli?

Haya...............imetosha
 
Mbowe na Prof Assad

Wajinga hujulikana kwa maneno yao!! Umeshasikia tena habari za nyungu, uchumi wa viwanda, tunaibiwa sana, mabeberu, sisi ni matajiri, fedha za ndani?????

Na hayo ni mambo ambayo Mbowe na Assad wameacha kuyasema??

Wakati mwingine ninaona mmekuwa kama vichaa tu. JPM alifanya mambo mazuri - lakini mnaowashambulia sasa hawana lolote wanazuia la JPM.
 
Angalia lile banda la mabati kule Chato
 
Wafukuzeni wamachinga mtengeneze legacy yenu
 
Tafuteni angalau muda mlale, angalau mtapunzika. Hii vita yenu ya kutetea marehemu/mzoga itawagharimu bure.
 
Rubbish.Vuvuzera la jiwe
 
Kazi uliyojipa ni ngumu sana , imeambatana na laana .
Makonda tuliambiwa amevamia ni mwizi ,fisadi mkubwa lakini mpaka leo unaelekea mwaka hana cheo chochote wala ulinzi wowote lakini hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpeleka mahakamani.

Je aliowaibia wameridhika tu?

Hata Sabaya hatakutwa na hatia yoyote ni majizi chadema yanamuonea wivu
 
Kukumbukwa kwa Kujenga Madaraja huwezi kukumbukwa Mbona Mkoloni aliyajenga sana nani ana mkumbuka?
 
wewe Mbowe aliyekuwa DJ wa mziki malaya mnywa gongo kilaza hana hata elimu tapeli la hela za ukooo naye ety kiongozi mfyuuuuu
 
Stage ya wendawazimu hii
 
Eeeeh kumbe Stakabadhi ghalan ni imeanza kipindi cha Jiwe? Na hata vyama vya wakulima pia? Kumbe hapakuwepo na AMCOS na vyama vikuu vya Ushirika?

Jiwe alishaondoka, halafu ni karibu mwezi tu sasa tangu afukiwe chini futi 6 za Mchanga watu wamesahau kama vile hapaluwahi kuisho Jiwe hapa Tanzania.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…