Hayo yote yanaweza kuliwa kichwa bila hata hata kujieleza kwa sababu Alipokuwa anaunua ndege kwa cash bila idhini ya bunge hakujieleza , alipojenga Bwawa la Umeme bila feasibility study na Tathmini ya mazinga hakujieleza, alipojenga uwanja wa ndege Chato hakujieleza. Zaidi sana alisema yeye ukimshauri ndio unaharibu kabisa.
 
Watanzania hawatakubali miradi yao kuliwa kichwa.
 
Great Men Are Like Rubber Corks: The More You Submerge Them, The More They Emerge!

JAMES DUNYO WRITES...✍🏾


Dears, the senators thought killing Julius Caesar will put an end to him and everything he stood for. But it rather started a chain of events that consolidated his legacy. Among other things, the universal calendar we all use today was created by Julius Caesar, with July named in his honour. The Caesarian section was named after him and many kingdoms named their rulers after him; Tsar for Russia, Kaiser for Germany, etc.

Friends, the Athenian authorities too did the same thing to the wise man Socrates. They thought killing him would have silenced him forever. Today, no one studies Philosophy without having to meet the great man, Socrates. You see?

The Jewish authorities too thought killing Jesus would have silenced him and erased his memory forever. When it backfired, they knew instead of water, they had rather poured gasoline on fire. Today, in every city, town and village on earth, the mere mention of this name, Jesus, strikes terror in proud arrogant hearts, and sends hands clapping, knees bowing and tongues confessing!

Such great men as these are like plastic/rubber corks. The more people try submerging them, the more they emerge afloat on the water. The more they are suppressed, the more they impress. It is a waste of time to attempt to sink what is destined to float. Great men may be destroyed; but their legacies shine on like stars in the evening sky!

©J.DUNYO... 2021
 
Legacy aliyoacha Magufuli ni hii hapa:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa.
 
Chadema inaonekana wana nguvu mnoo aisee 🤣🤣🤣
 
Watanzania hawali wapinzani, watanzania wanataka umeme na maji
 
Mbona huu mtanange ni wa kwenu wenyewe CCM? CAG aliwekwa na Chadema? Ndungai ni Chadema? Kigwangwala ni. Chadema? The list is endless,pinganeni,piganeni,uaneni mtajijua wenyewe. Sisi Chadema ni wapenzi watazamaji tu.
 

Naona unaogopa kuwataja wale wenye mamlaka ya kula vichwa hiyo miradi unawaangushia mzigo wa lawama wale ambao hawana nguvu wala hawahusiki kwenye mjadala huu.

Embu pambaneni humo ndani nyie wenyewe.
 
Unauaje kisichokuwepo na kisichoishi? Kwani kuna legacy gani ya huyo mwendazake? Tatizo mleta mada haelewi hata maana ya legacy. Legacy haipigiwi debe wala kupiganiwa bali ipo tu na inajipigania yenyewe, yaani inajiuza yenyewe.
 
Kwani huyu mwendazake unayempigania ana legacy ipi? Ya kupiga watu risasi? ya kutumia kibabe fedha za serikali kununua ndege nyingi zinazoliingizia hasara Taifa? Kutumia fedha za serikali kujenga kwao? Legacy ipi? Au hujui hata maana ya legacy?
 
niulize tu bila kelele hivi ile ilani ya uchaguzi ilikuwa ya Magufuli peke yake au ya ccm? wanasiasa ni watu wa ajabu sana!
 
Mbona huu mtanange ni wa kwenu wenyewe CCM? CAG aliwekwa na Chadema? Ndungai ni Chadema? Kigwangwala ni. Chadema? The list is endless,pinganeni,piganeni,uaneni mtajijua wenyewe. Sisi Chadema ni wapenzi watazamaji tu.
Watanzania siyo vilaza
 
Unauaje kisichokuwepo na kisichoishi? Kwani kuna legacy gani ya huyo mwendazake? Tatizo mleta mada haelewi hata maana ya legacy. Legacy haipigiwi debe wala kupiganiwa bali ipo tu na inajipigania yenyewe, yaani inajiuza yenyewe.
Kama unavyoinjoi fly over kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…