Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

Asante kwa kushare nasi. Hongera kwa kuwa na Baba ambaye amekuwa ni role model wako na vile vile umesema kweli kabisa matokeo ya tabia za sisi Vijana wa leo ni hali ya malezi tuliopewa na Wazazi wetu. Allah akujalie mtazamo chanya kwenye hii Dunia ya Sasa 😊
 
Nachotambua watoto wa Kike waliopata malezi ya baba zao ndo kizazi kizuri Cha kuolewa na kugumu kwenye ndoa. Ongera sana nakuombea sana Mungu akupatia baba ambaye mume Bora
 
Baba zetu wa kiafrika ni jau sana. Kwa upande wangu naweza kusema Baba hakuwa mtu mzuri kwangu hata kidogo lakini pamoja na ubaya wake kwangu kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu nimeimarika sana Kihisia, Kimtazamo, Kiimani na Kiakili na ninashukuru Ubaya wake kwangu umenifanya niwe mtu Bora.😊
 
Jirani yangu baba ako kweli alikuwa mwema sana, nakumbuka ulivokuwa safi shule nzima
 
Jirani yangu baba ako kweli alikuwa mwema sana, nakumbuka ulivokuwa safi shule nzima
🀣🀣🀣🀣Dah
 
Hongera wachache wanaoweza kubadili ubaya kuwa wema
 
Shukrani nawe
Kwakweli malezi ya watoto wazazi ndio wahusika wakuu ukiyumba hapo mambo Huwa tofauti Kabisa labda upate mtoto mwenye uwezo binafs WA kuchagua baya na zuri bila kuambiwa
 
Hongera wachache wanaoweza kubadili ubaya kuwa wema
Chuki ni Uchafu wa moyo hata nikiendelea kumchukia haibadilishi chochote. Ni kusonga mbele tu maana NO MATTER HOW HARDLY YOU DO YOU CAN'T CHANGE THE PAST.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tumekutana na mambo magumu sana hapa duniani Kuna uzi nilichangia ilikuwa mwaka 2019 jukwaa la Hoja na Habari Mchanganyiko.
 
Ubaya gan huo unaweza ku share Kwa faida ya vizazi vijavyo.....
 
Shukrani nawe
Kwakweli malezi ya watoto wazazi ndio wahusika wakuu ukiyumba hapo mambo Huwa tofauti Kabisa labda upate mtoto mwenye uwezo binafs WA kuchagua baya na zuri bila kuambiwa
Ni kudra za Allah tu Miss Aaliyyah . Malezi ya Wazazi wote ni bora sana kwa watoto lakini familia zetu za Kiafrika kuna changamoto sana kwenye ishu ya malezi
 
Mungu akubariki kwa hili ulilofanya kuya-appreciate yale aliyoyafanya mzee wako pia hongera kwa mama kuficha madhaifu yake kwenu nyie watoto,ni kitu wamama wengi wa siku hizi hawafanyi.

Binafsi huwa nayafanya haya kwa wanangu japo siyo kwa 100%,ila umenipa motisha kwamba kumbe pia ipo siku yatakumbukwa so nitazidi kuboresha ili waje nao kunikumbuka kwa mema,ukipata wasaa kwa imani yako usisahau kumuombea huko aliko azidi kuwekwa sehemu salama.
 
Shukrani nawe
Kwakweli malezi ya watoto wazazi ndio wahusika wakuu ukiyumba hapo mambo Huwa tofauti Kabisa labda upate mtoto mwenye uwezo binafs WA kuchagua baya na zuri bila kuambiwa
Kwa sisi wakristo mama angu aliwai kuniambia mlezi mkuu ni YESU KRISTO....
Kama ni mtu wa kuharibikiwa mapema Mimi nilienda soma nikawa baba na mama Mimi mwenyewe.............
Mm nilikataa kua mtu wa ovyo ovyo tangu nikiwa mdogo.....

Wizi, marafiki wabaya, umalaya,bangi, pombe, Ngono na uasherati, ugomvi, tamaa, Uongo, kiburi, dharau, matusi, uvivu, ujanja ujanja,utapeli,

Kuna waliopata malezi mazuri wakaharibikiwa na Kuna walio pata malezi mabaya wakaongozwa na roho wa MUNGU wakaja kua watu wazuri & vice versa is true 😌😊😊
 
Una-type hapa kutokana na yeye kukutoa kwenye kiuno chake vyovyote alivyo muombee mema hata wewe una madhaifu yako yanayoonekana kwa jamii kama wewe unavyoyaona hayo ya mzee wako.

Hakuna aliye mkamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…