Kumbukumbu ya moja ya tarehe mbaya kutokea (Worse Date Ever)

[emoji23][emoji23][emoji23] hai ndo wazee wa wenge
 
Ndio maana inashauriwa mwanaume kaabla hujaenda date na pisi kali kwanza make sure u shake hands with the one eyed milkman 🀣🀣🀣🀣
Inasaidia kuwa calm
Hii ni chai bila maandazi...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahah nmecheka sana kwenye Mimi sina mbambamba,
Hapo anamaanisha yeye yuko straight kama mtu amezingua anamchana hapo hapo
 
Ndio maana inashauriwa mwanaume kaabla hujaenda date na pisi kali kwanza make sure u shake hands with the one eyed milkman 🀣🀣🀣🀣
Inasaidia kuwa calm
Tiba mbadala
 
nilimkimbia mjeshi akiwa kambi ya airwing ukonga, nilijuana nae marafiki dot.com, mwembamba sio mzuka kimvuto alinikubali kinoma, nikapiga hesabu mjeda nikaona kwata kwata sitaki square, siku akiniona nahisi atanibaka nilima denda hadi alikojoa, nilimla kipakistan facebook nimemblock, kifungo kinakaribia kuisha nimsahe soon
 
🀣🀣🀣🀣
 
Labda ulikuwa pisi kali mpaka akapangawa akaingia mchecheto
 
Halafu wala sio kichaa ila sijui kwanini ali behave that way. Maana sio kwamba hata hakuwa na hela useme niliagiza sana akachanganyikiwa, hapana.

Au labda alikuwa anaumwa na tumbo. Nikaona siwezi ku deal naye mimi
Ungempa nafasi nyingine
 
Hadi nikawaza labda tulivyokuwa pale alimuona mtu labda anajuana naye labda mpenzi wake au ex. Maana zile stail hapana. Huo usiku niliuchukia sana.
Kwanini ulichukia kwani wewe hupendi comedy?
 
Wote walitaka kukula?
 
Safi sana Mnyamwezi wa Sikonge au Ulyankulu? Na humu wanyamwezi watakuwepo tu wengi. Nliwahi pia chukua mademu wa kinyamwezi huwa wanafigure nzuri sana.
ukielewa ukawa na kiburi me nakuacha.
 
🀣🀣🀣 sio vizuri bana inaonyesha haukumwelewa. Ulimchuna tu siku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…