Kwamba alikuona bado mdogooo? au mlaini lainiii?? au .......Mkuu nashindwa kuelewa labda unisaidie kutafakari!
4. Huyu mwingine date ilienda vizuri kabisa! Maongezi yalikuwa mazuri tena intelligent! Everything was good ingawa kuna kitu ambacho alikuwa anafanya nikawa naona kama weird saingine naona kawaida (alikuwa akiangalia kifua changu sana). Baada kurudi nyumbani na kumtaarifu nimefika salama na kusema asante! Ndipo jamaa akaniuliza βkwa hicho kifua chako utaweza kuhimili maumivu kweliβ???[emoji22]
Njema sana EliiβοΈ!Haha!!Mambo mengine vipi lakini mtoto mzuri?
Nimecheka sana !! Mkuu wewe unakutana na watu wacheshi hebu jaribu mmoja mkuu !! Hawataki maigizo !!Mkuu nashindwa kuelewa labda unisaidie kutafakari!
4. Huyu mwingine date ilienda vizuri kabisa! Maongezi yalikuwa mazuri tena intelligent! Everything was good ingawa kuna kitu ambacho alikuwa anafanya nikawa naona kama weird saingine naona kawaida (alikuwa akiangalia kifua changu sana). Baada kurudi nyumbani na kumtaarifu nimefika salama na kusema asante! Ndipo jamaa akaniuliza βkwa hicho kifua chako utaweza kuhimili maumivu kweliβ???[emoji22]
Sasa kikiwa kifua kimejaa hata mimi lazima nikutizame bibieMkuu nashindwa kuelewa labda unisaidie kutafakari!
4. Huyu mwingine date ilienda vizuri kabisa! Maongezi yalikuwa mazuri tena intelligent! Everything was good ingawa kuna kitu ambacho alikuwa anafanya nikawa naona kama weird saingine naona kawaida (alikuwa akiangalia kifua changu sana). Baada kurudi nyumbani na kumtaarifu nimefika salama na kusema asante! Ndipo jamaa akaniuliza βkwa hicho kifua chako utaweza kuhimili maumivu kweliβ???[emoji22]
Inauma asee. Manzi kama huyo siku akijichanganya akakupa mbususu hakikisha unaichakata haswa. Halafu unamblock siku hiyohiyoHawa viumbe kama hajakuelewa wana vitimbi sana
Hahaaaa safi sana... huu ndo umwamba1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu. Akanipa.
Baadaye tukawa tunachat na hatimaye nikamwambia kusudio langu na kumtaka aje tupate dinner jioni tuongee vizuri. Nlijua siku hiyo ngeosha bakora. Nikawa mfukoni nina tsh 40,000 ambayo nilijua ingetosha mlo na vinywaji.
Basi nikaenda eneo husika. Baadaye akaniambia nimwelekeze nimekaa wapi. Heeeehh..... Si kaja na wenzie wengine wawili. Kila mtu akaagiza chips kuku. Ambayo mpaka hao wao tu walikuwa wanatumia 27,000 na vinywaji beer Heineken kila mtu.
Nlianza hisi kizunguzungu.maana ni wazi ile 40,000 ilikuwa inaelekea kutotosha. Mimi nikaagiza chips mishkaki mitatu. Pale mshkaki mmoja tsh 2,000 nikaona hili sasa so.
Ikabidi nifanye kama naenda washroom.nikampigia dereva wa ofisini aniletee tsh 100,000 ntamrudishia kesho. Nikarudi ndani. Baada ya kama dk 20 dereva akapiga simu nikachukue pesa nikatoka nje nikachukua sasa nikiwa na kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya.
Yule dada alifanya uswahili ambao alikuja jutia baadaye. Maana katika wale marafiki zake mmoja alikuwa mkali kuliko yeye. Nikavumilia tu siku ile. Mpaka nlipokuja mla nikaanza kumweka sawa na mwenzie. Nikamla halafu nikakaa kwake. Yule dada alikuja gundua akaumia sana. Nlimwambia ni yeye aliniletea. I hope alijifunza kitu.
2. Hii ilitokea kwa dada mmoja. Nikamweka sawa akanikubalia na kuniambia lakini aliwahi kuzaa. Nikasema haina shida. Siku nimepanga naye appointment jumamosi lunch Mlimani City. Akaniambia atakuja anikute. Kweli nikafika muda muafaka.
Nimetulia akapiga simu niende mchukua. Nikamwelekeza nilipo akadai atapenda nikamchukue. Nikaenda kumbe anataka nimlipie Taxi. Zikanitoka 20,000 za Taxi maana ubaya wa mazingira yale huwezi hata bargain. Anashuka na watoto 4. Nikashtuka. Ila i held my breath. Akawaambia haya muamkieni uncle.
Wakaja nisalimia.... Nilikwazika sana.first appointment anawaleta na akina uncles tena? Tukaenda kaa samaki samaki...yeye amekazana kupiga picha kila tukio. Ndo tumekaa anitambulisha watoto wake. Nikamwambia sawa.vikaagizwa vyakula. Nika piga hesabu kichwani nikaona haya majanga.
Nikamwambia ngoja nikanunue vocha. Sikurudi na namba yake nili block. Niliona ni mambo ya kiswahili.
Dada au Kaka ni appointment gani worse uliwahi kutana nayo huwahi isahau?
Hahaaaaa nyam nyam nyamm kama ndamaHahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.
Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.
Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.
Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.
Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.
Nilivyotoka hapo, nikamblock.
huyo classmate wako bila shaka alikua anajua machaka yako ukakosa comfidensNikiwa 1St yr Chuo, kuna siku nilikua na appointment na mtu fulan, daaah tulipokutan kumbe kaja na rafiki zake, afu m1 wapo n mtu wa mtaan kwetu na pia n classmates wangu wa primary,
Nlijisikia vibayaaa sanaaa, sikuwa huru japo nilijikaza kukaa tyuuh palee, baada ya kuagana na kuondoka, nkamuambia kila mtu ashike 40 zake, na tufanye km hatujawahi kujuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu sasa classmates ndo akaanza kunisumbua na yeye, pia nikamfungia kioo,, sitaki mazoea ya kupitiliza, uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
fear this gender ..Kipindi nipo Chuo siku hiyo kulikua na vimanyunyu nilitoka kwa mguu toka off-campus mpaka chuoni, mwendo kama dakika 15 hivi kumfuata mrembo na muda wote tunawasiliana na bibie.
Kufika namshtua nimefika anachungulia nje anaona vimanyunyu anasema hataweza kuja kuniona sababu ya mvua nywele zake zitaloa. Najaribu muelewesha lakini haelewi palepale nikamblock na kurudi zangu mdogo mdogo maghettoni, safari ya kurejea ilikua ndefu hiyo njia nzima nasonya na kutukana [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukio lako ndio litafunga thread!Nasoma koments tyuuuu mie [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]!!
Mlumbi nimetembea na hata sijaloa ila yeye kaogopa kuloa.fear this gender ..
Bwana wee, inaelekea ana attract aint shot niggasπ€£π€£π€£π€£Duh, mbona date zako za kiswahili sana. Mara uounguziwe maksi, mara keki nusu. Unawatoa wapi hao jamaa?
ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈ!! π€£π€£π€£π€£π€£Tukio lako ndio litafunga thread!
Sawa mtoto mzuriNjema sana Elii[emoji3577]!
Dahh umenichekesha sana mshkaji wangu ππ ila hapa na kachai umetu mixia hapa.Hahahaha I went out for dinner with a guy.
Tukaagiza vinywaji pale fresh tukisubiria chakula sasa.
Mimi nikaagiza makange ya samaki yeye akaagiza kuku.
Movie inaanza kwanza kwenye kiti kakaa hatulii, mara ajinyooshe , mara ajikunye, mara anyooshe miguu hadi inafika kwangu ananikanyaga anasema aah sorry bhana.
Mimi namuuliza tu "kila kitu kipo sawa"? Anasema ndio. Mara kila saa anauliza mambo mengine vipi lakini? Mara nimefurahi umekubali kutoka na mimi. Anarudia rudia kila dakika. Basi mimi nishakwazika ila najikaza tu.
Chakula si kikaja? Anakula kama ndama? Yaani ile tafuna khaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ng'ombe yaani yaani ni "kata kata kata nyam nyam nyamnm" halafu hiyo kuku anainyofoa vyofoa kama ana mapengo.
Halafu hatulii, mara akapiga glass na kiwiko cha mkono pombe ikamwagikia[emoji1787][emoji1787]. Nikasema hii kali.
Nilivyotoka hapo, nikamblock.
U still could giv him second shot to confirmHalafu wala sio kichaa ila sijui kwanini ali behave that way. Maana sio kwamba hata hakuwa na hela useme niliagiza sana akachanganyikiwa, hapana.
Au labda alikuwa anaumwa na tumbo. Nikaona siwezi ku deal naye mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi tatizo huwa linalonikumba ni mawazo tu ya pesa nilizotumia kwenye date yaani kesho yake huwa nakosa raha sana!,ndio nikapata mbadala wake kwamba dating zote ziwe ghetto kwangu kuepuka gharama