Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

jiwe kaifanyia nini Arusha?
Kakamata bange... hahahaa!!
Jombaa Huoni maelimu bure asee, mavituo yaafya,kituo chamabasi punde,maji niaje,mandege apondichi,umeme haukatoksi tena,barabara kapeti arifu,machinga wanajiachia korona haiko ndichi yaani nimengi bablai asee amka utaona chalangu nikwikwi
 
Anaweza akawa type za akina Nasari na Ole Millya
 
Anaweza akawa type za akina Nasari na Ole Millya
Mkuu

Hili jamaa ni yale yale ma-snake!

Uzuri yanadhani sisi wananchi hua hatuna akili ya kuona na kujua!

Yanadhani sisi mafala kumbe yenyewe ndio majinga!

Leo kalia na sanduku la kura!

Mwenzie Msando anasubiri kipigo cha mbwa mwizi kura za maoni huko CCM....

Msando's will receive even worse ass whooping!
 
Kituo cha Mabasi kiko wapi mkuu? Machinga wanajiachia yes na wamefanya mji umekuwa mchafuuu hayo nayo ni maendeleo?
 
Hiyo ndo weaknesss yake pia. Inawezekana labda kina Msando wamemtuma akatibue

Kwanini mnapenda kuingiza chuki kwenye Siasa. So Ukiwa CHadema lazima uwachukie marafiki zako wa Act au CCM. Nani alikwambia Siasa Ina mizizi ya kudumu.
 
Kituo cha Mabasi kiko wapi mkuu? Machinga wanajiachia yes na wamefanya mji umekuwa mchafuuu hayo nayo ni maendeleo?
Mkuu

Pay him no mind....

Ukishaona mtu anaandika Maviswahili ya hovyo namna hiyo,jua unaongea jitu moja hopeless.

Watanzania sijui lini tutaweza chochote?Kiswahili hatujui,Kingereza hatujui,lugha za makabila yetu hatujui....aisee,sijui tunaenda wapi!
 
Kumbe ni machale yako? Kwahiyo hata hiyo ya kutaka kunnuliwa udiwani wake kwa dau dogo ni machale yako. Sasa ndugu yangu, sisi tunajadili vitu seriuos na halisi wewe unatuletea machale yako.
 
Kwanini mnapenda kuingiza chuki kwenye Siasa. So Ukiwa CHadema lazima uwachukie marafiki zako wa Act au CCM. Nani alikwambia Siasa Ina mizizi ya kudumu.
Generally Hutakiwi kumchukia mtu na sio lazima upende pia

In your private life unatakiwa unaweza kuwapenda ila sio kwenye public representation mzee!

Hawa watu wanapendana katika private life at a normal social settings na sio publicly.

Ni kama Mrema au Cheyo au Mbatia wanavyosema wanampenda Magufuli too much wanampa kura wafuasi wao wawafuate,kwenye public optics hiyo ni failure!
 

Shukran mkuu nimekupata vema, hapo kwenye uandishi inasikitisha sana. Kuna wakati unamsoma mtu tena ni graduate unashindwa kumtofautisha na mtoto anayejifunza kuandika!
 
Kumbe ni machale yako? Kwahiyo hata hiyo ya kutaka kunnuliwa udiwani wake kwa dau dogo ni machale yako. Sasa ndugu yangu, sisi tunajadili vitu seriuos na halisi wewe unatuletea machale yako.
Ni machale yangu binafsi,sina proof yeyote..

Kikwangu Kuamini kitu sio lazima unipe proof,ni maamuzi yangu kuamini nachotaka,ilmradi sijakuingilia wewe au yule!

Sasa,unanipangia cha kuamini mzee?

Huna kazi za kufanya?

Keep wasting your time my nigga!
 
Umeula wa chuya Lema mitano tena
 
Banana alishafika bei akagombee udiwani lakini siyo na chama chakavu.
 
Hapana Mkuu, hapa tunajadiliana wote kwa uhuru kabisa. Ni vizuri kuleta vitu ambavyo vina uhalisia kidogo (Ni Ushauri tu). Sasa unapoleta hisia zako ambazo hazina ushahidi wowote, kuna wengine wanaweza kukuamini moja kwa moja kwasbb tunatofautiana uelewa. Mwingine hawezi kutofautisha Kati ya kitu halisi na hisia za mtu. Na hapo ndo utakapojikuta unaangukia kwenye dhana ya UPOTOSHAJI.
 

Umesoma ulichokiandika Ama ulituma tu bora liende?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…