jiwe kaifanyia nini Arusha?Lema hamna kitu kafanya Arusha zaidi ya kuota ilendoto kwamba prezidaa atakufa!! as if yeye hatokufa ndomana wanamwita nabii Tito!!
Safari hii hanachake bang zinampaga mihemuko sana huyu chalii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiwe kaifanyia nini Arusha?Lema hamna kitu kafanya Arusha zaidi ya kuota ilendoto kwamba prezidaa atakufa!! as if yeye hatokufa ndomana wanamwita nabii Tito!!
Safari hii hanachake bang zinampaga mihemuko sana huyu chalii
Huo ni uigizaji na usanii tuu.View attachment 1510150
View attachment 1510151
Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe .
UPDATES: View attachment 1510291
Kakamata bange... hahahaa!!jiwe kaifanyia nini Arusha?
Anaweza akawa type za akina Nasari na Ole MillyaI think hakwenda sababu,alitaka amalizie Udiwani wake then ajaribu Ubunge,etc...
Na pia waunga juhudi madiwani walikua wanapewa dau kidogo,akipiga hesabu ya remaining time na hela atakayolipwa baada ya kustaafu udiwani na salio analopewa now na CCM,it doesnt make sense to him.
That nigga is a snake of some kind....
Sina ushahidi,ila mimi binafsi kwa machale yangu,najitahidi sana nimuamini ila sijafika 100% aisee!
I dont know why!
MkuuAnaweza akawa type za akina Nasari na Ole Millya
Kituo cha Mabasi kiko wapi mkuu? Machinga wanajiachia yes na wamefanya mji umekuwa mchafuuu hayo nayo ni maendeleo?Kakamata bange... hahahaa!!
Jombaa Huoni maelimu bure asee, mavituo yaafya,kituo chamabasi punde,maji niaje,mandege apondichi,umeme haukatoksi tena,barabara kapeti arifu,machinga wanajiachia korona haiko ndichi yaani nimengi bablai asee amka utaona chalangu nikwikwi
Hiyo ndo weaknesss yake pia. Inawezekana labda kina Msando wamemtuma akatibue
View attachment 1510150
View attachment 1510151
Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe .
UPDATES: View attachment 1510291
MkuuKituo cha Mabasi kiko wapi mkuu? Machinga wanajiachia yes na wamefanya mji umekuwa mchafuuu hayo nayo ni maendeleo?
Kumbe ni machale yako? Kwahiyo hata hiyo ya kutaka kunnuliwa udiwani wake kwa dau dogo ni machale yako. Sasa ndugu yangu, sisi tunajadili vitu seriuos na halisi wewe unatuletea machale yako.I think hakwenda sababu,alitaka amalizie Udiwani wake then ajaribu Ubunge,etc...
Na pia waunga juhudi madiwani walikua wanapewa dau kidogo,akipiga hesabu ya remaining time na hela atakayolipwa baada ya kustaafu udiwani na salio analopewa now na CCM,it doesnt make sense to him.
That nigga is a snake of some kind....
Sina ushahidi,ila mimi binafsi kwa machale yangu,najitahidi sana nimuamini ila sijafika 100% aisee!
I dont know why!
Generally Hutakiwi kumchukia mtu na sio lazima upende piaKwanini mnapenda kuingiza chuki kwenye Siasa. So Ukiwa CHadema lazima uwachukie marafiki zako wa Act au CCM. Nani alikwambia Siasa Ina mizizi ya kudumu.
Mkuu
Pay him no mind....
Ukishaona mtu anaandika Maviswahili ya hovyo namna hiyo,jua unaongea jitu moja hopeless.
Watanzania sijui lini tutaweza chochote?Kiswahili hatujui,Kingereza hatujui,lugha za makabila yetu hatujui....aisee,sijui tunaenda wapi!
Ni machale yangu binafsi,sina proof yeyote..Kumbe ni machale yako? Kwahiyo hata hiyo ya kutaka kunnuliwa udiwani wake kwa dau dogo ni machale yako. Sasa ndugu yangu, sisi tunajadili vitu seriuos na halisi wewe unatuletea machale yako.
Umeula wa chuya Lema mitano tenaAisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga
Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.
Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.
Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Hapana Mkuu, hapa tunajadiliana wote kwa uhuru kabisa. Ni vizuri kuleta vitu ambavyo vina uhalisia kidogo (Ni Ushauri tu). Sasa unapoleta hisia zako ambazo hazina ushahidi wowote, kuna wengine wanaweza kukuamini moja kwa moja kwasbb tunatofautiana uelewa. Mwingine hawezi kutofautisha Kati ya kitu halisi na hisia za mtu. Na hapo ndo utakapojikuta unaangukia kwenye dhana ya UPOTOSHAJI.Ni machale yangu binafsi,sina proof yeyote..
Kikwangu Kuamini kitu sio lazima unipe proof,ni maamuzi yangu kuamini nachotaka,ilmradi sijakuingilia wewe au yule!
Sasa,unanipangia cha kuamini mzee?
Huna kazi za kufanya?
Keep wasting your time my nigga!
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga
Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.
Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.
Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Labda unaenda kufa wewe na mamakochadema inaenda kufa arusha