Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Bananga ndio nani, hizi mbinu tu za kuendelea na Lema.
 
Anyway, kwa hizi siasa za bongo hakuna wa kuaminika.. kwani nani alidhani mtu kama Silinde, Nasari wangenunulika kirahisi hivo?

Mwisho wa siku siasa ni mchezo kama 'Poker' tu. Huwezi jua mwenzako ana nini.
 
Hapo hamna kitu mzee,pandikizi hilo.

Zamani jamaa alikuaga ni 'the real deal' ila sasa hivi alishaunga mkono juhudi ktambo tu.
Kama ni hivo basi wamle kichwa mapema.. bora abaki Lema ropo ropo...

Ila kama CCM wanataka kuiba jimbo kinguvu, bora wampe Mrisho Gambo
 
Arusha pagumu sanaaaaa ...ndio jimbo pekee litaloleta joto kwenye chaguzi zote za Chadema .....makao makuu yote macho yote Arusha dadadadeki .....
ARUSHA AU MBEYA? BINAFSI NAONA MBEYA NDIO PATALETA CHANGAMOTO
 
Kama ni hivo basi wamle kichwa mapema.. bora abaki Lema ropo ropo...

Ila kama CCM wanataka kuiba jimbo kinguvu, bora wampe Mrisho Gambo
Mpaka sasa CCM wana dawa ya Lema ila hawana dawa ya Bananga ....akishinda Bananga watarudi kwenye drawboard ....
 
Tuache demokrasia ya kura iamue.
 
Tuma message kwa kila mjumbe wa mkutano ukimuarifu hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…