Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

Uchaguzi 2020 Kumekucha Arusha Mjini: Kura za maoni za ubunge moto wawaka, Lema aibuka kidedea dhidi ya Bananga

View attachment 1510150

View attachment 1510151

Mwitikio si haba kama mnavyojionea wenyewe .

UPDATES: View attachment 1510291
Hongera sana mhe.Lema kwa kuaminiwa tena na wana wa arusha
IMG-20200718-WA0050.jpg
 
Lema kashinda lkn jimbo halipati tena kwakweli Ccm wako vizuri. Naona na chakla ya mwenyekiti imeshinda viti maalumu
 
Aisee nampenda Lema.. ila ikipendeza amuachie Binamu Bananga

Kama mkazi niliyozaliwa Arusha, napenda kuona kuna mabadiliko fulani ya kuachiana vijiti, mimi sio muumini wa 'umimi', nadhani ni wakati Lema akamuachia Bananga, Lema apumzike tu kama Mnyika.

Mchuano wa Binamu Bananga (CHADEMA) na Mrisho Gambo (CCM) utatupatia watu bora sana kwa Arusha maana wote nimewapima kwa mizani yangu, ni viongozi wanaofaa, wana mitizamo fulani ya kimaendeleo na kupiga hatua.

Arusha msifanye makosa CHADEMA na CCM ni either Bananga au Mrisho Gambo
Bahati mbaya sana Lema na wasira kwenye kupenda madaraka hawatofautiani. Tofauti yao ipo kwenye umri tu.
 
Unaijua Chuga wewe? Kaa mbali na moto
wala mkuu, ccm inarejea arusha mkuu vijana , wababa, wamama, wadada , wote wanaimba ccm sasa..wanajuta maamuzi ya kumpa huyo boya aliyepita ubunge
 
kwahio unakubaliana nami kua viongozi wote waliokua arusha walikua wameoza ? kama sio kunuka..haswa mbunge na mkuu wa mkoa..
Halmashauri ikiongozwa na cdm imefanya makubwa,huyo mteuliwa yeye alijaa ubabe,fitna uchonganishi au hukumsikia baba yake akisema kwanini kamtumbua
 
Bananga ata kwenye kata yake tu udiwani hashindi ndo muwaze et ubunge acheni utani kama mnampenda sana si mkale nae muwa the don,Lema ndo kiboko yenu n mnjua ndo maana mnalia lia hapa et achaguliwe uyo mlevi nyoka
 
Halmashauri ikiongozwa na cdm imefanya makubwa,huyo mteuliwa yeye alijaa ubabe,fitna uchonganishi au hukumsikia baba yake akisema kwanini kamtumbua
hayo "makubwa" ni yapi tuanze ku list down hapa..haya twendeee...mojaa..
 
Lema hamna kitu kafanya Arusha zaidi ya kuota ilendoto kwamba prezidaa atakufa!! as if yeye hatokufa ndomana wanamwita nabii Tito!!
Safari hii hanachake bang zinampaga mihemuko sana huyu chalii
 
Back
Top Bottom