GE2025 Kumekucha! CCM yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa njia ya mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM ni Serikali na Serikali ni CCM.
Mkutano mkuu wa CCM,ni janga Kwa Taifa,eleweni hivyo .
 
Hakuna mkate mgumu kwenye chai.Sisi wakitulipa posho ya kutosha hatutajali kupitisha ajenda yoyote,hata kama kuuza nchi.
Sisi ni kupitisha tu,wao watajuana huko huko.
 
Sio kuhairishwa, unachafua lugha.
Ni kuahirishwa
 
Hakuna mkate mgumu kwenye chai.Sisi wakitulipa posho ya kutosha hatutajali kupitisha ajenda yoyote,hata kama kuuza nchi.
Sisi ni kupitisha tu,wao watajuana huko huko.
Wajukuu na vitukuu wako wataelekea wapi Kwa mwendo huo?
 
Majaliwa awe mgombea mwenza mbona kitakua kituko basi majaliwa akiwa mgombea mwenza bado Master mind JK bado atakua mshindi
 
Hilo tutusa aka zwazwa halitaki tujadili chama kinachotuibia kodi zetu, anataka tumjadili yeye na uzwazwa wake!!?
Mazwazwa ya CCM na utumwa wa kiakili ni mgonjwa na uji.
 
Kwaiyo Chura ana tegemea ulinzi wa mwinyi saivi hana iman na bara 😹😹 Tutaajie wahusika w amkutano wote kua chini ya ulinzi wa TWISS wakati mkutano ukifanyika
 
Kwaiyo Chura ana tegemea ulinzi wa mwinyi saivi hana iman na bara 😹😹 Tutaajie wahusika w amkutano wote kua chini ya ulinzi wa TWISS wakati mkutano ukifanyika
Mtahangaika sana manyumbu lakini Samia ataiacha ccm ikiwa imara kabisa.
 
HIi habari ni ya kwelii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…