Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

Hongera kwa Mbowe na Lisu posho watakazopata za hizo safari si haba

Ruzuku ya Chadema wanaifaidi kwa kweli
 
Mambo ya uchaguzi ndiyo fahari ya mwanasiasa ...tozo wananchi wamepigwa wakachakaa hatukuwahi kusikia mwanasiasa anaitisha maandamano

..moja ya ajenda za maandamano ni kupinga hali ngumu ya uchumi inayosababishwa na sera mbovu za Ccm.

..tozo na kodi kubwa wanazolipishwa wananchi ni sehemu mojawapo ya sera mbovu za uchumi za Ccm.
 
unazungumzia jogging 🐒
 
Fanyeni mikutano, maandamano yameshagoma,labda kama ni ya kupitia watu kama ngoma ya mdundiko
 
Hilo neno la wingi hebu ondoa jiweke peke yako... sijawahi kuwa kundi moja kimawazo na malaya aisee....
 
Nani kakupa usemaji wa wananchi?wewe ni mwoga iliojawa na uzuzu just shut up,mtanzania atakayeguswa na yanayopiganiwa na CHADEMA ataingia mtaani kupigania anayoyaamini,matokeo ya shule za kayumba ambazo walioziasisi hata vijukuu vyao havisomi huko
 
Si mlisema jogging nzuri kiafya leo unaleta dhihaka? Afterall sijawahi onaga malaya mwenye akili hata siku moja.
kwamba second in command within cdm anamuacha mkewe, kisha sijui ana oa, au kuolewa na mzungu ndio akili, right?🐒
 
Amna huruma mtu mbovu wa miguu bado mnampeleka speed na bado mnamvalisha mabuti mazito kama ya Tanesco.
Yaani kwa uelewa wa Lisu ni wa kupelekeshwa?! Kama Lisu anaweza kupelekeshwa kwenye jambo hilo, sidhani kama Kuna mtu hataweza kupelekeshwa.
 
Mbona umetaja mikoa ya Tanzania tuu, vp hizo nchi zingine nani atakuwa anaongoza maandamano mana umesema ni maandamano ya dunia nzima.
 
CHADEMA ni matapeli na madalali wa siasa.ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua
 
Walioiuza Bandari na Chadema nani ni madalali ?
Hakuna bandari iliyouzwa hapa nchini. Rasilimali zetu na mali zetu zote zipo salama katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Hakuna bandari iliyouzwa hapa nchini. Rasilimali zetu na mali zetu zote zipo salama katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.
Wadanganye wajinga wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…