Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

Wazee wa Nusu Mkate hao walishatulia kipindi cha Magu kulikua kuna kelele za wapinzani Zitto mwenyewe yuko chali
 
Kwahiyo ugumu wa maisha, katiba Mpya hayo yote hayawagusi wananchi hivi uko CCM Huwa wananya nini mpaka mnakuwa machoko hivyo?
 
Ningekuwa kamanda wapolisi ningetoa kichapo cha mbwa koko kwa lisu na mbowe wakome kabisa kuja na ajenda za kitoto namna hii
 
hahaaaaa nimecheka kwa sauti yaani walichofanikiwa ni kupata jina jipya la tume ya uchaguzi wakafurahiiiiiiiii kuwa maandamano yao yamezaa matunda uwiiiiii hamnazo kweli chadema
Wamevurugwaa ufipa!
 
Mafuriko yanasababishwa na miundo mbinu mibovu , Tukiinga madarakani 2025 kama ilivyopangwa na Mungu tutarekebisha jambo hilo
Mmeshindwa kununua hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama, hiyo miundombinu mraiwezea wapi?
 
Unayo macho ?
Ninayo Mkuu
Tuambie impact ya maandamano yaliyofanyika?
Wizi umeisha serikalini
Ugumu wa maisha umeisha
Serikali Bunge Mahakama wanapitisha sijui sheria matamko matangazo kila kukicha
Ufujaji wa pesa
Teuzi haziishi

Nini ninyi mnaona ambacho wengine hatuoni?
Msibeze mbio za mwenge Maandamano haya pia ni sawa na mbio za Mwenge kimtindo
 
Poor chadema,wananchi huduma bora za afya,elimu bora,umeme,miundo mbinu bora nk.sio maandamano ambayo yanawapotezea muda wao,sijui kuna shida gani kwenye mabichwa yenu ninyi wafuasi wa chadema.

Itawachukua miaka 1000 kuchukua uongozi wa nchi hii.
 
Chawa walisema tundu lissu kabamia act
Yule Mwashambwa, akisema chochote, mpuuze tu. Bila shaka kichwani kwake hakupo sawa. Ni wa kuhurumiwa. Zaidi wazazi wake ambao walimtegemea kijana wao angekuwa na utimamu wa akili, lakini kwa bahati mbaya ameishia hapo alivyo.
 

Kwa kuwa wizi bafo upo, watu waache kukemea wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…