Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimeshakuelezea kuwa kuna watendaji ambao hata kipindi cha Magufuli walitaka fanya huu mchezo sababu ya kuwa na masilahi na mgao wa maji. Wao wanatumia hii kitu kujinufaisha. Hilo lipo wazi. Ni kipi ambacho wewe kinakufanya uone mambo yapo sawa?!
Maji yamepungua mto Ruvu hakuna cha Magufuli angekuwepo wala nini acheni kumfanya huyo mtu kama Mungu, ilitokea bahati nzuri katika kipindi chake halikutokea tatizo kama hili basi.
 
Unaongea Nini mkuu, Sasa JPM ali-menage vp kununua ndege na kuhakikisha maji anasupply kwa uhakika? Haya nyie ambao hamjanunua ndege vipi??
Tutatumia ndege zetu tulizonunua kwa matrilioni,kubeba hayo maji na kusambaza hayo maji kila mtaa Kwa hio usiwaze mkuu tutalinda legacy ya kiongozi wetu wa Africa kwa style hio mkuu.
 
Kwa hio umepaniki unaanza kulia Lia Sasa sio? Wewe Ni wa kunifundisha Mimi? Eti deformation? Hio Ni Nini Sasa umeandika?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Na DEFAMATION itakua Ni Nini?

Maana hii deformation yako uliyoiandika utakua umeitoa huko Chato University labda. Jinga sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaongea Nini mkuu, Sasa JPM ali-menage vp kununua ndege na kuhakikisha maji anasupply kwa uhakika? haya nyie ambao hamjanunua ndege vp??
πŸ˜„πŸ˜„ hebu tuwekee hapa alikuta Deni la nchi Ni kiasi gani na ameacha Deni la nchi Ni kiasi gani?

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Jamani tunanunua ndege kwa hela zetu za ndani,sisi ni matajiriiii au Nasema uongo ndg zangu?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hamna mtu anajali khs sababu zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.
Kama hawawezi waachie ngazi tupate watu wanaoweza kujiongeza na kuleta maji.
 
Atekwe wapi si basi story za mitandaoni maana utafikiri alikuwa akiishi kimashaka kwa kuogopa kutekwa, kila awamu kuna visa vyake sikuona wakizungumza hivi kipindi cha Ulimboka.
πŸ˜„πŸ˜„ Kwani CCM kutekana Ni story mnayoishangaa?Ni kawaida yenu tu.
 
Sasa huo ubora unaouzungumzia wewe ni upi? Kuna mambo yapo tu kila awamu ndio maana hata Ulimboka aliingia kwenye 18 za Kikwete.
Ubora wa CCM utoke wapi? Tulieni mama anaponya nchi, Maji yatarudishwa 2030, umeme utarudi kwenye hali ya kawaida 2027 na Kama hamtaki andamaneni tuone, maana zilikua ndio lugha zenu Wana CCM enzi hizo za Shujaa wa Africa.
 
Hamna mtu anajali khs sbb zao TUNATAKA MAJI, FULL STOP.
Kama hawawezi waachie ngazi tupate watu wanaoweza kujiongeza na kuleta maji.
Enzi za jiwe watu tulikua tukilalamika kitu tunaambiwa andamaneni muone Cha Moto(tutawapiga kipigo Cha Mbwa koko-Rpc Mroto) na Mataga walikua wanafurahia saaaana.

Sasa na Mimi nasema hivi wananchi wooote wanao ona hawaridhiki na mambo ya umeme na maji waandamane.
 
Kumbe wanatekana ccm sasa wewe kinakuuma nini? kwani wewe ccm?
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ andamaneni basi tuone, maana maji na umeme hali itaendelea hivi mpk 2030 na Cha kufanya hamna.
 
Ubora wa CCM utoke wapi?Tulieni mama anaponya nchi,Maji yatarudishwa 2030,umeme utarudi kwny hali ya kawaida 2027 na Kama hamtaki andamaneni tuone, maana zilikua ndio lugha zenu Wana CCM enzi hizo za Shujaa wa Africa.
Huoni tu ubora wao inakuongoza hadi leo japo hutaki ila huna la kufanya tofauti na kubweka tu humu mitandaoni halafu bado unasema hauoni huo ubora wa ccm?
 
Sijaona Ratiba hapo.....sasa Masaki maji yapo 24hrs kwa siku zote ndiyo ratiba ya mgao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…