Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

Watu km hawa ndio wanafanya watoto wanakua mazezeta ndani,nikisikia haya your gone
 
Ukitaka kumuhukumu nani? Upige naye story wapi? Kila jambo tunalojadili hapa ni general halijamlenga mtu specific.
Nikimuona mwanamke mwenye kucha ndefu kucha zake hazinihusu, zikinihusu basi ni mtu wangu wa karibu hivyo namfahamu ni mtu wa aina gani.
Unatumia hisia sana kutoa hoja yako, ni kama kuna jambo lingine linakusukuma kuandika tofauti na mada husika. Hakuna sehemu nimelazimisha tufanane msimamo. Jaribu kutokukariri id, hili tatizo la kutumia hisia wakati wa kutoa hoja hutokana na kukariri id ambazo ni fake, hoja ikikukera unaibeba id halafu mbeleni kwenye hoja tofauti unatoa hoja kwa hisia za huko nyuma kuliko uhalisia wa mada husika.
Bado unaishi ndani ya box, toka nje uijue dunia, halafu ukiona watu wanajadili mambo yao next time, usipende kudandia sema kwasababu ya upeo wako mdogo, sikulaumu sana.
Again, unatumia hisia. Nikiona watu wanajadili mambo wapi nisidandie? Watu gani? Humu JF? Hiyo inawezekana vipi katika public forum?
 
Natumia hisia vipi wakati nimekupa mpaka mfano?!

- Hii mada tunajadili mke na mapishi, nashangaa tena unaniuliza nani? ndio maana nakwambia tatizo kwako upeo.

- Kucha za mwanamke zikuhusu au zisikuhusu hilo mimi sijali, nachojali uniambie hizo kucha ndefu za mwanamke zinamzuia vipi kuingia jikoni mpaka uone hafai kuwa mke wa kuangalia familia?

Hizo hisia unazosema natumia sijui unaziona wapi, unaonekana umesahau hata comment yako ya kwanza uliyo mquote Evelyn Salt, rudi kule mwanzo uisome urudishe kumbukumbu.

Next time learn to observe first before you jump talking.
 
Natumia hisia vipi wakati nimekupa mpaka mfano?!

- Hii mada tunajadili mke, nashangaa tena unaniuliza nani? ndio maana nakwambia tatizo kwako upeo.
Tunajadili mwanamke na kutokujua kupika na sababu zake.
- Kucha za mwanamke zikuhusu au zisikuhusu hilo mimi sijali, nachojali uniambie hizo kucha ndefu za mwanamke zinamzuia vipi kuingia jikoni mpaka uone hafai kuwa mke wa kuangalia familia?
Hahaha, boss mimi sijasema hafai kuwa mke, Kufaa au kutokufaa ni suala la mwenye mke kulingana na ni nini anataka kwa mkewe. nimesema kipaumbele kikiwa kucha, kope, kigodoro hawezi kuwa na muda wa kinu, tangawizi na iliki. Nikakupa na mfano asubuhi kaamka wote mnatoka, atakuandalia chai au atapambana na kigodoro kikae sawa? Hoja yangu si kufaa na kutofaa, hoja yangu ni kipaumbele na muda wa kupambana na kucha, kope, kigodoro vs muda wa mapishi.
Hizo hisia unazosema natumia sijui unaziona wapi, unaonelana umesahau hata comment yako ya kwanza uliyo mquote Evelyn Salt, rudi kule mwanzo umsome urudishe kumbukumbu.
Hisia ninazosema ni zile zinaonekana unaposoma hoja ya mtu. Mtu anahemka anachemka kwenye hoja ya kawaida kabisa kama ilivyokutokea. Yaani hoja kuwa mwanamke anayeendekeza kucha, kope, nyusi hawezi kuwa na muda na mapishi isababishe mambo mengiii mpaka kupigwa ban ya kutokujadili hoja za JF ambazo ni public tu.
Next time learn to observe first before you jump talking.
Mambo si magumu hivi hapa JF. Legeza ubongo kidogo boss.
 
Sema kuna wanaume hawajali, wao ili mradi usiku wanatengewa menu chumbani wao inatosha.

Kwangu mke atafanya kazi za home, hata kama kuna msaidizi kuna vitu mama anafanya kwa ubora zaidi, kwa upendo zaidi na vinaonekana zaidi.
 
๐— ๐—ฎ๐—น๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ผ ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ผ
 
Sema kuna wanaume hawajali, wao ili mradi usiku wanatengewa menu chumbani wao inatosha.

Kwangu mke atafanya kazi za home, hata kama kuna msaidizi kuna vitu mama anafanya kwa ubora zaidi, kwa upendo zaidi na vinaonekana zaidi.
Kweli kabisa
 
Vitoto Darasa la 1 lpaka la 7 boarding
Form 1 mpaka 4 boarding
Form 5 na 6 boarding
Chuo anakaa hostel anakula kanteen
Kazin anakula hotel

Sasa hapo unataka utegemee matokeo ya tofaut yap zaid ya haya??
 
Na wewe kwa akili hizi unajihesabia kabisa kwamba utakuja kuolewa! Labda ujioe mwenyewe hakuna mwanaume timamu anahitaji mke wa aina yako wallah!
Mume wangu anahitaji mke wa pili maana nimeshazeeka. Njoo uchangamkie fursa fasta kabla hujachacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ