Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Yesu baba ake ni nani?

Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu

Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu

Umeelewa?
Sasa unampa mtoto ubini gani?
 
Shida itakuja wakati kijana akishajitambua na akitaka kujua mizizi ya alikotoka.
Damu ya mtu ni nzito sana kupotea kirahisi hivyo mkuu.
Yaan hapo ndio naishiwa power
 
Kuna mikasa mingi sana ya wanaume ambao walipata watoto bila kutarajia na wenza ambao hawakuwa na nia ya kuwaficha, lakini mwishoni wengi wamekutana na watoto wao katika mazingira ya kushangaza sana.
 
Hii sio nzuri.

Ila kama unaona itakufaa lenga siku ambazo itakuwa upo heat, safiri nenda sehemu usiyoijua na watu usiowajua.
Itege kwa mwanaume atayekuwepo aichape wiki au siku tatu sijui Ili upate uhakika kama imeingia kisha rudi zako kwenu. Hapo utaendelea na harakati zako.
 
Na kwanini unataka umilikiwa mtoto 100% kama vile ni asset badala ya kuwa takwa la kiimani, kijamii na kihisia zaidi?
Sitaki ku share watoto wameleta migogoro kisa ku share
 
Kuna mikasa mingi sana ya wanaume ambao walipata watoto bila kutarajia na wenza ambao hawakuwa na nia ya kuwaficha, lakini mwishoni wengi wamekutana na watoto wao katika mazingira ya kushangaza sana.
Inashangaza
 
Huo ni upumbavu,kazaa na Baba yake au mjomba auKaka!, baba wa mtoto muhimu afahamike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…