Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

Wakati nimetoka kumwangalia Mwigulu Nchemba anatikisa tambi lake mtandaoni akishangilia ushindi wa Yanga, ghalfla nikakutana na picha ya huyu dada sijui ni bibi hata sielewi, she is in such despair, yaani anatia huruma sana.

Kafungwa 22 years kisa nyama ya swala, mbona hukumu kali sana?! Hakuna mbadala?!

Anyway, kwakuwa Rais ni mwanamke, basi mi namwomnea msamaha kwa mwanamke mwenzake ambae ni Rais, Mh.SSH, fanya fair tu, mwachie bhanaaa, imagine she was your daughter, daah, inauma sana, please mwachie...



 
Ukiua tembo mmoja miaka 50 jela na utalipa fidia ya millioni 50.

Ila tembo akikuua familia yako itapata pole ya sh. Million 1 tu.

Ndo kinachofanyika huko kusini . People are die daily
Ingekua tembo akikuua familia inapata Milioni 100 si tungewekana njiani ili familia zetu zipate mgao
 
Hii inakatisha tamaa,lkn Mungu yupo huenda anamakusudi yake,kumfunga mtoto wa kike miaka yote hiyo je wangapi wataathirika na hukumu hii? Anyway anayehukumu Leo Naye anasubiri kuhukumiwa after life
 
Keso za hivi Mara nyingi huwa Ni za kutafutiana, mikoani nyama pori watu kibao wanauza
 
Sheria za uonezi uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…