YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Life is not fair at allMijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life is not fair at allMijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata...
Nipeni jina la huyo hakimu, mi nitamtumia watu wakamtandike shaba za kichwa mshenzy huyo, hana utu?!Hawa ni aina ya mahakimu ambao Sheria haipo kichwan, ni wapuuzi wanaotembea na tukanuni twaao kichwan,, Sina shaka ukifatilia hukumu za huyu mpuuzi, utagundua zote zinafanana...
Kwani ilitakiwa afungwe mingapi?Kuna mwingine kafungwa miaka ishirini kwa kukutwa na bangi kg10. Hizi Sheria zetu sijui zikoje
Sheria inatoa wigo upi? (Max. Na Min. ) kwa hakimu?Kwani ilitakiwa afungwe mingapi?
Ingekua tembo akikuua familia inapata Milioni 100 si tungewekana njiani ili familia zetu zipate mgaoUkiua tembo mmoja miaka 50 jela na utalipa fidia ya millioni 50.
Ila tembo akikuua familia yako itapata pole ya sh. Million 1 tu.
Ndo kinachofanyika huko kusini . People are die daily
Hii inakatisha tamaa,lkn Mungu yupo huenda anamakusudi yake,kumfunga mtoto wa kike miaka yote hiyo je wangapi wataathirika na hukumu hii? Anyway anayehukumu Leo Naye anasubiri kuhukumiwa after lifeMijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia mpaka ajue huyu ni Swala?
Miaka 22 kwa nyama yenye thaman ya laki tisa?
Kwamba kupitia hiyo nyama, angekuwa tajiri kama walivyo majizi yenu ya CAG?
Upumbavu, ufedhuli, ujinga, ukosefu wa Hekima na Busara aliouonesha huyu Hakimu unaadhihirisha aina ya Wanasheria uchwara tulionao hapa Nchini.
View attachment 2805999
Hapa Kuna visasi na kukomoanaMimi staki kuamini ni nyama ya swala pengine ni visasi vya kijamii. Miaka 22 kisa nyama ya swala
Sheria za uonezi uliopitilizaWakati nimetoka kumwangalia Mwigulu Nchemba anatikisa tambi lake mtandaoni akishangilia ushindi wa Yanga, ghalfla nikakutana na picha ya huyu dada sijui ni bibi hata sielewi, she is in such despair, yaani anatia huruma sana.
Kafungwa 22 years kisa nyama ya swala, mbona hukumu kali sana?! Hakuna mbadala?!
Anyway, kwakuwa Rais ni mwanamke, basi mi namwomnea msamaha kwa mwanamke mwenzake ambae ni Rais, Mh.SSH, fanya fair tu, mwachie bhanaaa, imagine she was your daughter, daah, inauma sana, please mwachie...View attachment 2806380
View attachment 2806381