Wewe utakuwa huna mume bali una mwanaume tu. Kauli zako zinaashiria kuwa wewe ni gume gume wanaume wanafunua na kufunika kisha wanasepaMbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.
Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
Yeyote mkuu.Mwanamke au Mke? Hao ni watu wawili tofauti
Mwanamke kuolewa wakati unajiweza kiuchumi ni kujitwika stress tu. Ushaambiwa "ndoa ni uvumilivu" maana yake ndoa ni shida tupu.Hii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
ushasanuliwa sasa bimama utulie hizo hisia zinakupotosha achana nazoHii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
na kwa mantiki ya dunia ya sasa kumzuia kabisa mwanamke asishike uchumi ni ngumu sana mkuu. tunapoelekea ndoa itakua something overrated na haitakua na mashiko tena.Mwanamke kuolewa wakati unajiweza kiuchumi ni kujitwika stress tu. Ushaambiwa "ndoa ni uvumilivu" maana yake ndoa ni shida tupu.
Sasa kwann uingie kwenye shida wakati Mambo yako safi?.
Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4Gna kwa mantiki ya dunia ya sasa kumzuia kabisa mwanamke asishike uchumi ni ngumu sana mkuu. tunapoelekea ndoa itakua something overrated na haitakua na mashiko tena.
Mhe Elli amesema "KWISHA KAZI"Noted ila mkuu Liverpool VPN tia neno mkuu katika hili vijana tunalofanya
swali kwako mkuu,, wewe wayaonaje maisha ya wanadamu duniani pasipo na ndoa .ni jambo jema au tunapotea ?Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
Njoo inbox nikuulize jamboMbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.
Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
Dah mashambulizi haya ...Wewe utakuwa huna mume bali una mwanaume tu. Kauli zako zinaashiria kuwa wewe ni gume gume wanaume wanafunua na kufunika kisha wanasepa
Unamfungulia biashara yake au ya familia?Aise naona huo ni Mfume dume!
Labda kama siyo mke wangu wa ndoa! Kama ni mke wangu wa ndoa namfungulia biashara vizuri kabisa.
Hakuna kitu kizuri katika ndoa kama kusaidiana.
Soma ukiwa umetulia. Mleta mada anasema fungua biashara ya familia na siyo umfungulie mke wako biashara yake,Kuepuka majuto mkeo awe msimazi tu wa hiyo biashara na siyo yeye awe mmiliki.Acha ubinafsi km una uwezo mfungulie biashara mkeo aangalie maisha yake kumbuka ipo siku utakufa au kuugua magonjwa ya muda mrefu hiyo biashara ndio itakayo wasaidia
Siyo yake tu,ni ya familia yangu.Unamfungulia biashara yake au ya familia?
Mwanamke au Mke? Hao ni watu wawili tofauti