Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Mbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.

Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
Wewe utakuwa huna mume bali una mwanaume tu. Kauli zako zinaashiria kuwa wewe ni gume gume wanaume wanafunua na kufunika kisha wanasepa
 
Hii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
Mwanamke kuolewa wakati unajiweza kiuchumi ni kujitwika stress tu. Ushaambiwa "ndoa ni uvumilivu" maana yake ndoa ni shida tupu.

Sasa kwann uingie kwenye shida wakati Mambo yako safi?.
 
Mwanzo 3:13 ,Bwana Mungu akamwambia mwanamke nini hili ulilolifanya? Mwanamke akajibu, nyoka alinidanganya, nikala.
Yaani kiumbe anayeitwa mwanamke haijatokea nikamwamini 100%.
 
Hii inaweza kua kweli aisee maana sasa biashara yangu imekua akinitibua tu huyu baba nawaza kuishi mwinyewe sababu najiweza kilakitu...
ushasanuliwa sasa bimama utulie hizo hisia zinakupotosha achana nazo
 
Mwanamke kuolewa wakati unajiweza kiuchumi ni kujitwika stress tu. Ushaambiwa "ndoa ni uvumilivu" maana yake ndoa ni shida tupu.

Sasa kwann uingie kwenye shida wakati Mambo yako safi?.
na kwa mantiki ya dunia ya sasa kumzuia kabisa mwanamke asishike uchumi ni ngumu sana mkuu. tunapoelekea ndoa itakua something overrated na haitakua na mashiko tena.
 
Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
 
swali kwako mkuu,, wewe wayaonaje maisha ya wanadamu duniani pasipo na ndoa .ni jambo jema au tunapotea ?
 
Mbona mtakufa kwa magonjwa ya moyo kwa kulazimisha kutawala wanawake kwa mabavu? Usimpeleke binti yako shule wala usimfundishe kutafuta hela ili akawe mke bora.

Endeleeni kuoa na wakati hamna akili halafu myanze kulialia wakati mliambiwa kuishi na mwanamke yataka akili.
Njoo inbox nikuulize jambo
 
Aise naona huo ni Mfume dume!
Labda kama siyo mke wangu wa ndoa! Kama ni mke wangu wa ndoa namfungulia biashara vizuri kabisa.
Hakuna kitu kizuri katika ndoa kama kusaidiana.
 
Acha ubinafsi km una uwezo mfungulie biashara mkeo aangalie maisha yake kumbuka ipo siku utakufa au kuugua magonjwa ya muda mrefu hiyo biashara ndio itakayo wasaidia
 
Unamfungulia biashara yake au ya familia?
 
Acha ubinafsi km una uwezo mfungulie biashara mkeo aangalie maisha yake kumbuka ipo siku utakufa au kuugua magonjwa ya muda mrefu hiyo biashara ndio itakayo wasaidia
Soma ukiwa umetulia. Mleta mada anasema fungua biashara ya familia na siyo umfungulie mke wako biashara yake,Kuepuka majuto mkeo awe msimazi tu wa hiyo biashara na siyo yeye awe mmiliki.
 
Back
Top Bottom