Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hahahahaha acha kabisa Mpwa
Hivi huwa ni kwanini ? Kwamba ndivyo walivyo umbwa au ni nini yani, maana Kuna vitu wanafanya mpaka unabaki unajiuliza.
Nina mashaka na hili..Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?
Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.
Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.
Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.
USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.
Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
Kuna tafiti zinasema mama wa nyumbani ni rahisi zaidi kutoka nje ya ndoa/mahusiano, ana muda mwingi nyumbani na mara nyingi wanakuwa wanyonge kwa kutothaminiwa na waume zao. Wewe acha mwanamke achakalike aingize pesa ili mnyanyuke kiuchumi.kumbe true love unaipata kwa mama wa nyumbani tu sikulijua hlo mkuu
Asante mkuu, tayari umeshawatofautishaWote ni Sawa. Mke hawezi kuwa mke bila kuwa mwanamke, Ila Mwanamke anabaki kuwa mwanamke bila hata ya kuwa Mke.
Tatizo umezoea kufumuliwa kila upande na kuachwa sasa unahisi kila mtu kaachwa.Wewe utakuwa huna mume bali una mwanaume tu. Kauli zako zinaashiria kuwa wewe ni gume gume wanaume wanafunua na kufunika kisha wanasepa
Jiamini. Siku ukifa atayelea familia yako nani?
Wanaume wanajijua huwa wanakufa mapema kuliko wanawake.[emoji3]Kwahiyo Mwanamke hafi anaishi milele?
Siyo jema kuishi bila ndoa. Lkn ni kujidanganya kama tutaendelea ku-force ndoa ktk zama hizi wakati watu wanazidi kufanyiwa kitu mbaya katika ndoaswali kwako mkuu,, wewe wayaonaje maisha ya wanadamu duniani pasipo na ndoa .ni jambo jema au tunapotea ?
Ndoa ni mfumo uliopendekezwa na Mungu...kwa hiyo kamwe Mungu hawezi pendekeza kitu cha kipumbavu.Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
Kwahyo akaiba kidogo kidogo akapata mtaji kupitia Hilo duka itakuaje umesaidia nn yeye akiamua muachane.....kikubwa sisi sio wasitaarabu kiasi hicho endeleeni kuomba mungu badala yasheria thabiti tuaze kuoana kwamikatabaNani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?
Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.
Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.
Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.
USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.
Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
tuseme tu yajayo yanafurahisha.Siyo jema kuishi bila ndoa. Lkn ni kujidanganya kama tutaendelea ku-force ndoa ktk zama hizi wakati watu wanazidi kufanyiwa kitu mbaya katika ndoa
Umeongea point ya msingi. Lakini ww ni lijinga la kule kwenye vita vya Russia sijakusahau
Baada ya ile ya kusomesha tunaongeza na hii
Why always nyie mfunguliwa , why nyie hamtufunguliimhh si ni mwili mmoja pana shida gani.