Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mtoa mada Yuko sahihi.
Niliwahi kusema hapa;
www.jamiiforums.com
Niliwahi kusema hapa;
Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli
Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...