Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

Mtoa mada Yuko sahihi.

Niliwahi kusema hapa;

Mimi nitamfungulia. Kama n usaliti n tabia yake atanisaliti hata bila kumfungulia biashara. Mimi mwenyewe naweza kumsaliti na kumuacha
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?

Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.

Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.

Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.

USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.

Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
Nina mashaka na hili..

Kama nikimfungulia wife biashara flani, lkn networth yangu ni at least 10 fold ya huo mradi wake, anaanzaje kuleta nyodo?!!!

Labda kama ww ni muajiriwa tuu, unamfungulia mradi wake binafsi (siyo wa familia!), afu baada ya muda unapigwa chini na huna namna ingine ya uzalishaji, hapo unaweza someshwa namba!

Kwa maoni yangu, kuna faidi nyingi za kumfungulia mke biashara kuliko hasara.

Kama biashara inam-keep busy muda wote hawezi kuwa na nafasi wala hamu ya kuchepuka!
 
kumbe true love unaipata kwa mama wa nyumbani tu sikulijua hlo mkuu
Kuna tafiti zinasema mama wa nyumbani ni rahisi zaidi kutoka nje ya ndoa/mahusiano, ana muda mwingi nyumbani na mara nyingi wanakuwa wanyonge kwa kutothaminiwa na waume zao. Wewe acha mwanamke achakalike aingize pesa ili mnyanyuke kiuchumi.

Mwanamke ni bidhaa inayotafutwa na wanaume kila kukishwa -ukijaribu kumchunga utapata msongo wa mawazo. Mwanamke anajilinda mwenyewe- anapangua majaribio.
 
Wewe utakuwa huna mume bali una mwanaume tu. Kauli zako zinaashiria kuwa wewe ni gume gume wanaume wanafunua na kufunika kisha wanasepa
Tatizo umezoea kufumuliwa kila upande na kuachwa sasa unahisi kila mtu kaachwa.

Tulia upambane na shida zako hatujakuchagulia sisi hilo dubwana lako fake wacha sisibtule matunda ya ndoa.

HUNA AKILI USIOE
 
swali kwako mkuu,, wewe wayaonaje maisha ya wanadamu duniani pasipo na ndoa .ni jambo jema au tunapotea ?
Siyo jema kuishi bila ndoa. Lkn ni kujidanganya kama tutaendelea ku-force ndoa ktk zama hizi wakati watu wanazidi kufanyiwa kitu mbaya katika ndoa
 
Wenzetu wa nchi za magharibi na ulaya washafika huko. Kwao mtu akioa/kuolewa wanamshangaa kama sisi tunavyowashangaa wasiyooa na waliyoolewa. Kwahiyo na sisi inakuja kwa kasi ya 4G
Ndoa ni mfumo uliopendekezwa na Mungu...kwa hiyo kamwe Mungu hawezi pendekeza kitu cha kipumbavu.

Hivyo basi kwa yeyote anayeamini, ndoa ni muhimu sana kwake
 
Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye?

Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake.

Mwanamke ili atulie kwenye ndoa anapaswa awe INSECURE ama kiuchumi au kijamii.

Mbaya zaidi wanaume wengi kwa upofu wa mapenzi tu huwaambia kabisa "hii biashara ni yako mke wangu" (kwa sauti ya kubana pua). Yaani biashara ni ya mke siyo ya familia.

USHAURI: Mwanaume fungua biashara ya familia halafu muweke mkeo aisimamie kama wewe uko bize, lkn uifuatilie kana kwamba umeajili mwizi kwenye biashara yako. Vinginevyo ataiba na biashara itakufa ama utadhulumiwa asubuhi na mapema na kisha utaachwa.

Mm Sexless nimefanya Sana kazi za ukungwi nimeyaona matatizo mengi yanayosabanisha migogoro ya ndoa. Hivi sasa migogoro ambayo chanzo chake ni wanaume kuwafungulia biashara wake zao imeshika kasi sana.
Kwahyo akaiba kidogo kidogo akapata mtaji kupitia Hilo duka itakuaje umesaidia nn yeye akiamua muachane.....kikubwa sisi sio wasitaarabu kiasi hicho endeleeni kuomba mungu badala yasheria thabiti tuaze kuoana kwamikataba
 
Ni maisha magumu tu,yanasababisha yote hayo

Raha ya mume unarudi home,unakuta vijikesi kumuhusu dada wa kazi na shamba boy

Unajifanya Kama hujasikia huku ukitupa koti kwenye meza ya kioo huku unajua si mahali pake

Kisha wife anakukata jicho fulani,halafu unajifanya umekosea unamuomba kamsamaha fulani ka kinafiki ,unamkumbatia ,na kumuuliza ,

Enhee unasema dada wa kazi kasemaje,anakusimulia......

Enhee na huyo Juma kafanyaje?

unasimuliwa huku ukijipanga kuwaonya.

Ndoa tamu jamani,

Siyo unarudi unakuta jitu limefurahi unauliza kulikoni,ukidhani labda ana enjoy kuwa na wewe,anakujibu

Wiki ijayo naelekea Nairobi Kuna semina ya wiki nzima,

Kidume unanyong'onyea kwa mbali.

Halafu kinafiki linakwambia,

Nitawamisi jamani mume wangu.

Ukitaka kulizua Jambo fanya Kama unazuia,,,,..........utajua kwanini mwanaume aliitwa Adamu yaani mmoja

Mwanamke akaitwa Hawa.
 
Siyo jema kuishi bila ndoa. Lkn ni kujidanganya kama tutaendelea ku-force ndoa ktk zama hizi wakati watu wanazidi kufanyiwa kitu mbaya katika ndoa
tuseme tu yajayo yanafurahisha.
 
Ukiona mtu anang'ang'ania biashara iwe YAKE na sio YA FAMILIA,kua mkini na kifuatacho ITV.

Biashara kua YAKE maana yake ni mpaka huo, kuna mstari umechorwa, sasa jiulize why mke wako anataka kuchora mstari?

Mimi nadhani biashara iwe YA FAMILIA.
 
Back
Top Bottom