Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

Hakuna kitu hapo ni usanii mtupu kusifia mama..mawaziri wote hawajuhi wanachofanya labda tuwapongeze kwa kumsifu mama hivi vyeo havina maana kila kitu ni raisii..
Mkuu kweli hujaona hata juhudi za Mhe. Dorothy Gwajima hata hapa jukwaani?
 
Kwa vigezo Vipi?
 
Jerry Slaa alijaribu sana kwenye nyumba na makazi angeachwa hapohapo.Mwingulu anatakiwa awe ameshajiuzuru kwa kushauri Watanzania tunahoji kuhusu tozo tuhamie Burundi.
Jerry Slaa alikuwa moto sio mchezo, lakini ndio hivyo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…