Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Pepe Kale & Empire Bakuba (tafuta hizi pia; Nina, Moyibi, Amour Perdu)

Fred Mayaula Mayoni ( Tafuta pia; pesa position, Mizele)

Mbilia Bell (Tafuta pia; Beyanga, Phenena, Eswi yo wapi, Tika Bazuwa)

Tshala Muana aka Elizabeth Munikai (Tafuta pia; Kokola, Nasi Nabali, Karibu yangu)

Wenge BCBG (Tafuta pia; kin E bouge, Hi Ho Ha)
 
Sasa hapa kulikuwa na battle ya hizi mtu
1. Diblo Dibala
2. Dally Kimoko
3. Lokasa ya Mbongo
 
Sasa hapa kulikuwa na battle ya hizi mtu
1. Diblo Dibala
2. Dally Kimoko
3. Lokasa ya Mbongo
Kuna jamaa anasema diblo anapiga solo inalia kama chura[emoji23] ila solo ya kimoko kwenye wapi yo ya yondo ni hatar
 
Ukitaka kupata ladha ya Hawa jamaa sikiliza pini za Soukous stars maana wengi walikuwa wanapiga solo Kule. Kuna wakati walikuwa wanapiga kolabo humo asee. Ila Diblo alikuwa anapiga solo mpaka gitaa linaongea, saladine alikuwa anapiga Ile long pitched solo halafu huku Kuna kasauti ka rapa kanamchombeza "Saladine ....... Saladine"
Dally Kimoko wimbo ukianza tu kama yumo utasikia "Dallyyyyyyy Kimoko"

Nene Tchakou yeye wakianza kutwanga sebene baada ya verse ndio unasikia "Nene Tchakou Tchakou Tchakou" dah nyieee

Halafu kulikuwa na mtu anaitwa Lofombo na gitaa lake la base Kule Empire Bakuba
 
Muhuni aliyeflow kwenye effrakata ni wa moto saana

Ila yule super tall wa exttra ndio rapa pekee namjua, sijui kwanini ngoma za kikongo sisi mashabiki wa juu juu kuwajua marapa ni kazi.
 
Hapo Kwa Ready Amisi umenikumbusha LIBALA halafu Kuna siku nilimkuta jamaa mmoja wa FM academia enzi anauimba vizuri kinoma
 
Yondo sister haimbi rumba wala sebene... ile style inaitwaje sijui..ila wapo na akina soukous ,bongo man,

Ila kiukweli kuna 2 aliziotea
1.sexy yondo
3.ngoma za kwetu
Yondo alikuwa anaimba style inaitwa Soukous pia lakini pia Kuna baadhi ya nyimbo chache aliimba za Rhumba hasa kwenye solo album tofauti na zile alizokuwa aliimba na Soukous Stars
 
Kuna jamaa anasema diblo anapiga solo inalia kama chura[emoji23] ila solo ya kimoko kwenye wapi yo ya yondo ni hatar
Diblo solo yake ilikuwa inaongea asee, sikiliza wimbo unaitwa Ok Madame utaisikia vizuri
 
Muhuni aliyeflow kwenye effrakata ni wa moto saana

Ila yule super tall wa exttra ndio rapa pekee namjua, sijui kwanini ngoma za kikongo sisi mashabiki wa juu juu kuwajua marapa ni kazi.
Anaitwa Killa Mbongo
 
Sijaona anayemtaja Franco Lwambo Makiadi.......mamou, nabiso candidat...Mobutu Sesse
 
Sasa hapa kulikuwa na battle ya hizi mtu
1. Diblo Dibala
2. Dally Kimoko
3. Lokasa ya Mbongo
Napenda kuskiliza kipindi kile cha RFA mtangazi wake charles machugu bolingo time kila j-nne na j-tano mapini yote makali nayapatia hapo.
 
Dah... hii ni kazi ngumu sana kuchagua nyimbo kumi tu bora za Kongo, maana jamaa wametawala kwa miaka mingi sana muziki wa Afrika kabla ya waNaijeria kuibuka na kuanza kuwakimbiza na African Queen ya 2Face Idibia mpaka sasa hivi wameshawapiku.

Ila ngoja nijitihadi, kama ifuatavyo:
  1. King Kester Kemenya - wimbo unaitwa Dandy, ila kuanzia katikati muziki unapochanganya (shoo ya tombola tombola kidekule) hii hapa =>
  2. Madilu System - Sa Majeste
  3. Suzuki - Decompte
  4. Mopao - Loi
  5. Extra Musica - Etat Major
  6. JB Mpiana - Kipe yayo! (Lopele)
  7. General Def. Defao Matumona - Famille Kikuta (Papaye)
  8. Pepe Kalle - La Rhumba
  9. Mopao - Danger de mort
  10. Fally Ipupa - Allo Telephone (sekunde 100 za kwanza tu, kacompose kitu kizuri sana ila baada ya hapo kaharibu) -
 
Your browser is not able to play this audio.

Attachments

Salute!
Asante Sana! Hapo naongezea : Wapi Yo - Yondo Sister
Mbuta Mutu-Yondo Sister
Dally Kimoko alichofanya humo hakijawahi kutokea dunia nzima!
 
Yes, killa mbongo si ndio super tall wa extra musica, hugu namjua, wale wa kwenye effrakata je?
Kwenye Efrakatta kuna Sarbarty Brigade na Bebe Kerosene. Huyu Bebe Kerosene ndo anaimba kama vile ana kikohozi kimemkwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…