Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Sasa nakuelewesha ndugu yangu Nyumba haijengwi kwa ajili ya kukusanya kodi. Bali kwa ajili ya kuombea mikopo banki pale unapohitaji mtaji wa kufanikisha ishu yako ya haraka. Kama wewe ni mfanyabishara mkubwa ukawa na shida ya ghafla ya m 100 kama hauna nyumba unafanyaje? Hapo ndio ma- donn wa mjini wanakuja kukupiga bao. Kuhusu Tolu mmiliki wa bucha alikuwa na nyumba tatu nzuri hapa town Na kikjijini kwao Iringa alijenga nyumba nzuri sana ya kisasa.Mambo si ndo hayo, ingekuwa ni kodi za jengo angepata wapi hiyo 15m watu wengi ni woga unawamaliza wanakimbilia assets