Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hueleweki, jifunze uandishi wenye mantikiNdugu yangu mambo yangu usipoyafanya ukaona kwa macho huwezi kunielewa
Kwa hiyo unataka kuniambia Ili kufanikiwa, katika hii biashara yategemea mazingira uliomo,pia uwe na mtaji mkubwa au sio.Nikweli mkuu inachelewesha sana, Trump huwa hapangishi watu wa kipato cha chini ni sawa na wewe upangishe chumba cha 100K kwa 300K lakini pia kuna charges anaongeza mfano ataweka security ya kampuni yake mwenyewe utawalipa pia, ataweka waudumu wa kampuni yake wa kukusaidia chochote unachotaka ndani ya apartment yako utalipia pia na mazaga mengine kibao
Yaani atafanya biashara yake ndani ya apartment yako ndiyo maana anazikusanya yaani hakuachii kitu
Mambo mengi kweli hapoHaina kufichaficha nilitumbukia biashara kachumbari kununua miti kuchana na kuuza, butchery, spea, pombe, cigarettes na takataka nyingine
Maisha nikuunga unga usifanye biashara moja changanya
Hakuna biashara moja itayokupa fedha nyingi ukitaka nyingi fanya bishara nyingi tofauti
Nikweli boss, zungusha hela utapata ya kujenga nyingine tano, kodi inachelewesha sana kwa mtu mwenye harakaUKO SAHIHI, nyumba mbili nilizonazo hapa mjini pesa niliyotumia kujengea ningesema niwekeze naona ningekua mbali sana, NI Jana tuu nmetoka kuwaza na kusema SITAKAA NIJENGE TENA! hizi nilizonazo zinanitosha kwasasa nafocus na kutengeneza mzunguko WA pesa zaidi
Nikweli mkuu nyumba watakayoishi familia haingizi chochote bora iwe ya kawaida kwanza uendelee kuzungushaSema ukiwa na familia makazi ni muhimu sana.
Ingawa uliyosema ndio uhalisia wenyewe.
Kwanza ukiwa na hela unajenga unapopataka na nyumba unayoitaka. Na kwa muda unaopenda iwe imekamilika inakamilika..
Nikweli mkuu, Chanika pale nn tatizo kila mtu anapasema vibayaHakuna biashara isiyoingiza faida. Tatizo watu wengi wakiambiwa kitu fulani kinalipa wanakurupuka kukifanya bila kufanya utafiti wa kutosha. Mfano mtu anajenga nyumba ya mil 50 chanika anlkitegemea imlipe.
Kwanza kabisa unatakiwa kuelewa kwamba majengo huwa hayapandi thamani, kinachopanda thamani ni ardhi(location) iliyobeba jengo.
Hivyo hakikisha thamani ya jengo unalojenga inaendana na location yake.
Pili kulingana na location unatakiwa kujenga jengo linaloweza kurudisha angalau 1% ya uwekezaji wako kwa mwezi. Mfano ukijenga nyumba ya mil 30 basi hakikisha umeijenga sehemu ambayo inaweza kukupa si chini ya 300k kwa mwezi.
Huyu kiboko hii ni hatari jamaa anapenda hela kuliko yeye mwenyeweOna huyu mwenye nyumba uniambie anazeeka akiwa na stress ? Wewe ndio unachagua maisha yako uteseke ujanani au uzeeni.
View attachment 3192311
Chanika siyo tatizo, tatizo liko kwa wawekezaji. Ukitumia formula nzuri unapiga hela. Mfuatilie Issa tambuuNikweli mkuu, Chanika pale nn tatizo kila mtu anapasema vibaya
Nikana kwamba hawawekezi Chanika sio, nilipata taarifa kuwa Chanika mwisho Meru Petrol Station ndiye kaiweka pazuri pia kitendo cha Makamu wa raisi Mh Philip Mpango kuwa na familia pale ameipandisha hadhiChanika siyo tatizo, tatizo liko kwa wawekezaji. Ukitumia formula nzuri unapiga hela. Mfuatilie Issa tambuu
kwa nini vikoba huna....Funzo nzuri sana hili. Thanks Mkuu. Mimi ndiyo maana hata vikundi vya vikoba huwa sichezi. Pesa napenda niwe nayo mkononi mwenyewe, niipangilie na kuizungusha mwenyewe.
Sitaki nishikiwe na mtu Hela yangu. Nataka niwe nayo mwenyewe, niizungushe navyojua mimi. Kila nikiihitaji niweze kuitumia kwa wakati.kwa nini vikoba huna....
NI KWELI kabisaNikweli boss, zungusha hela utapata ya kujenga nyingine tano, kodi inachelewesha sana kwa mtu mwenye haraka