Kucheza fainali shirikisho, sijui kudraw na Mamelod hakuhalalishi kushinda kila mechi. Mbona huzungumzii ya CAF msimu huu kwa kushindwa kufuzu kundi bovu kama lile.Ni punguani tu atawewekea dhamana uto kuwa hawawezi kuhonga ili washinde wakati mara kwa mara wanapigwa faini kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi.
Jidanganye na timu lako bovu lililoishia makundi kwenye kundi bovu.We kweli uto eti mvua ya magoli ingekuwa rahisi hivyo mngeifunga MC Alger ,mlijiaminisha hivyo hivyo, yaani akili zenu mnafikiri mpira mnacheza dhidi ya mabibi zenu.Ingekuwa hivyo msingeingia mitini!
Na naomba Viongozi wa Yanga wawaombe TFF wapange tarehe ya mechi upya ili tuwakate vilimilimi !
Yaaani tunataka tuwashushie mvua ya magoli kenge nyie ili mtimuane vizuri!
Hata Yanga ilifungwa na Tabora goli 3 kijinga kwa makosa ya Khomeni, lakini hakuna mwanaYanga alisema Khomeni amehongwa na Tabora. Kila timu ambayo imepewa adhabu kwa kosa la kupiga mlango mwingine ni kwasababu ya kukwepa uchawi wa Simba.Kucheza fainali shirikisho, sijui kudraw na Mamelod hakuhalalishi kushinda kila mechi. Mbona huzungumzii ya CAF msimu huu kwa kushindwa kufuzu kundi bovu kama lile.Ni punguani tu atawewekea dhamana uto kuwa hawawezi kuhonga ili washinde wakati mara kwa mara wanapigwa faini kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi.
Duuh we jamaa ile mechi uliangalia au ulisimuliwa, kwamba hujui mechi na tabora alidaka diarra, au unamaanisha ile na mashujaa mliyotoka tatu mbiliHata Yanga ilifungwa na Tabora goli 3 kijinga kwa makosa ya Khomeni, lakini hakuna mwanaYanga alisema Khomeni amehongwa na Tabora. Kila timu ambayo imepewa adhabu kwa kosa la kupiga mlango mwingine ni kwasababu ya kukwepa uchawi wa Simba.
Simba isiingizwe hapo. Fountain Gate wenyewe ndio wameituhumu Yanga kutoa rushwa kwa golikipa wao, na wakamsimamisha. Nadhani kama kuna nia ya kukabiliana na tuhuma hizo, basi njia nzuri ni kuwakabili walioitaja Yanga kutoa rushwa, na si kujificha kwenye kichaka cha siasa za Simba na YangaNi punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Jidanganye na timu lako bovu lililoishia makundi kwenye kundi bovu.We kweli uto eti mvua ya magoli ingekuwa rahisi hivyo mngeifunga MC Alger ,mlijiaminisha hivyo hivyo, yaani akili zenu mnafikiri mpira mnacheza dhidi ya mabibi zenu.
Simba waliicheza ile mechi; akina Mtenje Albano walikuwa wanajua kile walichokuwa wanakisema. Pesa nyingi ilimiminwa pale ili waizuie Yanga. Akina Kihimbwa walicheza kama vile wametiwa ndimu.Simba isiingizwe hapo. Fountain Gate wenyewe ndio wameituhumu Yanga kutoa rushwa kwa golikipa wao, na wakamsimamisha. Nadhani kama kuna nia ya kukabiliana na tuhuma hizo, basi njia nzuri ni kuwakabili walioitaja Yanga kutoa rushwa, na si kujificha kwenye kichaka cha siasa za Simba na Yanga
Ahaa, kumbe misimamo inatofautiana? Si tumeshachapishiwa na jezi na tunauziwa na gcm?Siku hiyo mtalia kilio na kusaga meno,subiri tarehe ipangwe
Mngekuwa na timu bora msingekandamizwa kwa mkapa na timu average Kama Al hilal.Timu lenu ni average ila mashabiki maandazi mnaamini mna timu bora.Kwahiyo wewe Kolo hapo mmefika baada ya kukutana na timu mbovu zinazobutua Mpira unajidanganya una timu?
Siku hiyo mtalia kilio na kusaga meno,subiri tarehe ipangwe
Kwenye football, kutoa ahadi mchezaji acheze kwa bidii sio kosa, na ndio maana huwa ahadi nyingine zinatolewa hadharani. Lakini kutoa ahadi ili mchezaji aigharimu timu yake, hilo ni kosa la rushwa, na ndio maana hufanyika kwa siri na kulazimisha vyombo vya soka na dola kufanya uchunguzi. Ulishawahi kusikia FIFA au TAKUKURU inafanya uchunguzi kwa mtu aliyeiahidi timu zawadi iwapo itapata ushindi? Goli la Mama nalo huwa ni la kificho?Simba waliicheza ile mechi; akina Mtenje Albano walikuwa wanajua kile walichokuwa wanakisema. Pesa nyingi ilimiminwa pale ili waizuie Yanga. Akina Kihimbwa walicheza kama vile wametiwa ndimu.
sawa yanga kashindwa kutoboa makundi klabu bingwa ila kamwe hakuna kiazi chochote NBC anayeweza kumzuia yanga hiyo kila mtu anajua,wewe tu ndo unajitoa akiliJidanganye na timu lako bovu lililoishia makundi kwenye kundi bovu.We kweli uto eti mvua ya magoli ingekuwa rahisi hivyo mngeifunga MC Alger ,mlijiaminisha hivyo hivyo, yaani akili zenu mnafikiri mpira mnacheza dhidi ya mabibi zenu.
Mngekuwa na timu bora msingekandamizwa kwa mkapa na timu average Kama Al hilal.Timu lenu ni average ila mashabiki maandazi mnaamini mna timu bora.
Kwenye lile kundi la yanga, Simba anaweza kuifunga timu gani?Kucheza fainali shirikisho, sijui kudraw na Mamelod hakuhalalishi kushinda kila mechi. Mbona huzungumzii ya CAF msimu huu kwa kushindwa kufuzu kundi bovu kama lile.Ni punguani tu atawewekea dhamana uto kuwa hawawezi kuhonga ili washinde wakati mara kwa mara wanapigwa faini kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi.
Simba inaweza kuifunga al hilal?Mngekuwa na timu bora msingekandamizwa kwa mkapa na timu average Kama Al hilal.Timu lenu ni average ila mashabiki maandazi mnaamini mna timu bora.
Kumbuka mwamedi alihiujumu Utopolo kupitia kwa yule kocha aliyetimuliwa ambapo kwa makusudi akaona njia rahisi ni wacgezaji wawe huru kwenda popote ikiwemo Casino.Jidanganye na timu lako bovu lililoishia makundi kwenye kundi bovu.We kweli uto eti mvua ya magoli ingekuwa rahisi hivyo mngeifunga MC Alger ,mlijiaminisha hivyo hivyo, yaani akili zenu mnafikiri mpira mnacheza dhidi ya mabibi zenu.
Mbona mlitobolewa na Tabora utd hivyo ni ukilaza kusema hamzuiliki na ilikuwa mwisho tu kwa Tabora utd kuwatoboa.Hakuna mtu yeyote ukiwemo wewe anaweza kuweka mali yake kama nyumba kwamba ana uhakika wa uto kuifunga simba,hayupo. Hapa unajifariji tu na mihemko ya kishabiki maandazi.sawa yanga kashindwa kutoboa makundi klabu bingwa ila kamwe hakuna kiazi chochote NBC anayeweza kumzuia yanga hiyo kila mtu anajua,wewe tu ndo unajitoa akili
Kwa hiyo simba imebaki vile vile tangu mlipoifunga ila nyinyi tu ndio mmeboreka? sasa wewe kariri kwamba kijili atajifunga tena.Kwani mpaka Al hilal anatufunga hukujua tulikuwa kwenye Hali gani?
Sisi tunakutaka wewe Ili tukushone mdomo