Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

Fountain gate wanapigana vita ya wakala. Baada ya simba kuishindwa yanga kiwanjani wanatafuta njia za kuichafua Yanga mitandaoni ili ionekane kuwa Yanga haina uwezo ila inanunua matokeo. Bahati mbaya sana hata simba na azam na singisa na tabora na coastal na namungo na JKT ya Jemedari zote zimekong'otwa na yanga. Mara waitaje GSM kudhamini timu nyingi, wanahanyahanya tu
Kwa hiyo unaamini golikipa wa Fountain Gate alielekezwa na Simba afungishe magoli ili Simba wapate agenda ya kuizungumza vibaya Yanga?
 
Ingekuwa hivyo msingeingia mitini!

Na naomba Viongozi wa Yanga wawaombe TFF wapange tarehe ya mechi upya ili tuwakate vilimilimi !


Yaaani tunataka tuwashushie mvua ya magoli kenge nyie ili mtimuane vizuri!
waliingia mitini saa nane za usiku. Inaonyesha kuwa walikuwa wanapiga ramri kuhusu mchezo huo hadi saa nane za usiku ndipo mchawi wao akawaambia wazi kuwa hamna namna mtabebeshwa mambao yasiyopungua manne, jamaa wakaamua kutoa tamko la kuingia mitini.
 
Hayo mashindano simba anayohangaika nae kichawi, kupulizia na kununua waamuzi Yanga kacheza finali mwaka jana tu.
Kwa hiyo umesahau kama timu lako linajidunga masindano? Hicho kichaka cha fainali mliyofika kwa kujidunga masindano kinafyekwa.
 
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa wote wa timu zote za ligi. Wamefungwa Simba, Azam na Singida wenye wachezaji ghali na fedha nyingi sana sebuse Foutain gates? Kama shida ilikuwa ni golikipa Noble kwanini wafungaji hawakufunga hata goli moja?

Hakuna golikipa ambae hawaogopi washambuliaji wa Yanga. Hofu ilisababisha Noble kufanya makosa kama yale. Wapeni Yanga sifa wanazostahili kupewa. Wachezaji hawahawa walioko Yanga wamecheza finali ya CAF Confederation, wametoka sare na Mamelods, wameshinda ngao ya jamii, ni watetezi wa kombe la ligi kwa mara ya 4 mfululizo, wameifunga Simba mara 4 mfululizo, wanaongoza ligi na wameingia nusu fainali ya CRDB cup. Ni punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Jinsi ambavyo akili za watanzania zinashindwa kuelewa uhalisia wa mpira ndiyo kipimo cha watanzania kuwa wavivu wa kufikiri hata kwenye Mambo ya kitaifa na kibinafsi
 
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa wote wa timu zote za ligi. Wamefungwa Simba, Azam na Singida wenye wachezaji ghali na fedha nyingi sana sebuse Foutain gates? Kama shida ilikuwa ni golikipa Noble kwanini wafungaji hawakufunga hata goli moja?

Hakuna golikipa ambae hawaogopi washambuliaji wa Yanga. Hofu ilisababisha Noble kufanya makosa kama yale. Wapeni Yanga sifa wanazostahili kupewa. Wachezaji hawahawa walioko Yanga wamecheza finali ya CAF Confederation, wametoka sare na Mamelods, wameshinda ngao ya jamii, ni watetezi wa kombe la ligi kwa mara ya 4 mfululizo, wameifunga Simba mara 4 mfululizo, wanaongoza ligi na wameingia nusu fainali ya CRDB cup. Ni punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Wao wenyewe walikimbiza timu uwanjani! Je, waliogopa nini kama siyo kichapo cha mbwa mwizi?
 
Sio kweli hiyo, ninavyoijua TFF na bodi ya ligi hii kama wangekuwa na ushahidi madhubuti wangeshaukabidhi kwa Mangungu, mo. Karia, Mnguto na Ahmed Ally fasta na Yanga ingeshakiona cha mtema kuni
Ndio uone jinsi mashabiki wa yanga hamna akili, mnalazimisha assumptions zenu ziwe ndio uhalisia, au labda mtuambie toka lini bodi ya ligi ikafanya kazi namna hiyo
 
Kwa hiyo unaamini golikipa wa Fountain Gate alielekezwa na Simba afungishe magoli ili Simba wapate agenda ya kuizungumza vibaya Yanga?
Yaani kila aliyedhani kuwa Fountain Gate angeweza kufunga Yanga ubongo wake umesogea kidogo. Kwanini Simba na Azam zifungwe bila kuhongwa lakini Fountain Gate ifungwe kwa kumhonga Noble? Kama Noble aliachia magoli kwa kuhongwa kwanini akina Kihimbwa ambao hawakuhongwa wasingefunga magoli? Maana hadhi hizi za Alfu Lela Ulela zingenoga kama wachambuliaji wanafunga lakini magoli yanarudishwa kwa uzembe wa kipa aliyehongwa. Timu nzima haikufurukuta kwa yanga zaidi ya kukamia kijinga.

Tunajua kuwa Noble anaangushiwa jumba bovu kama mbuzi wa kafara baada ya kocha matano kuhofia ajira yake, timu kuelekea shimoni mwa ligi, namna ya kuhalalisha upotevu wa "fedha za Simba" kwenye mechi ile na wachezaji kuzikosa fedha walizoahidiwa kama wangeifunga Yanga. Kama kweli shida alikuwa Noble vipi Palapanda nae kula goli mbili kama Noble?

Ukijamba kwa hasira utajinyea tu ndani ya ch*pi zenu. Pelekeni ushahidi TAKUKURU hamtaki zaidi ya kuchafua career ya mchezaji na ligi nzima.
 
Duuh kwani hujasikia kwamba jamaa amekutwa na meseji kwenye simu yake za kupewa rushwa, watu wanamlaumu huko kwamba naye ni mzembe kwanini anakaa na meseji kama hizo muda wote huo, anyway mimi natamani yanga waendelee kufanya match fixing hivi hivi ili wakifika kimataifa waendelee kuishia hatua za awali tu
Haya sasa
IMG_20250424_123202.jpg
 
Duuh kwani hujasikia kwamba jamaa amekutwa na meseji kwenye simu yake za kupewa rushwa, watu wanamlaumu huko kwamba naye ni mzembe kwanini anakaa na meseji kama hizo muda wote huo, anyway mimi natamani yanga waendelee kufanya match fixing hivi hivi ili wakifika kimataifa waendelee kuishia hatua za awali tu
Kama kungekuwa na hizo sms, lazima zingefikishwa kwenye mamlaka husika
 
Kama wewe huamini kama Fountain gates imefungwa kihalali jiulize timu yako alipata matokeo gani dhidi ya Yanga?
 
Kama kungekuwa na hizo sms, lazima zingefikishwa kwenye mamlaka husika
Simba waliitegemea Fountain Gate iwe kigoda chao kwenye mtelemko kuzuia gari lao lenye hitilafu kwenye mfumo wa brake lisitumbukie korongoni; kelele ziliongezeka baada ya Yanga kukiondoa kigoda chao. Kelele nyingi zilisikika zikotoka Simba kuliko Fountain.
 
Kucheza fainali shirikisho, sijui kudraw na Mamelod hakuhalalishi kushinda kila mechi. Mbona huzungumzii ya CAF msimu huu kwa kushindwa kufuzu kundi bovu kama lile.Ni punguani tu atawewekea dhamana uto kuwa hawawezi kuhonga ili washinde wakati mara kwa mara wanapigwa faini kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi.
Wewe unahangaika na fountain wakati ulikimbia mechi.
 
Duuh aibu nimeona mimi aisee kweli mashabiki wa yanga hamna akili, yani kabisa unaamini tweet ya mchongo kama hiyo ambayo haihitaji hata d moja kujua kwamba ni feki na hata hiyo account siyo ya fountain gate, yani timu ya mpira ndio iandike upuuzi kama huo utadhani demu anamuandikia bwana wake meseji ya kumsamehe kwa kosa la kumcheat.. bila shaka na wewe ni mmoja wa walioamini ile taarifa ya jana kwamba derby itachezwa may 10!!
 
Kama kungekuwa na hizo sms, lazima zingefikishwa kwenye mamlaka husika
Hata kama ni kweli kafanya hivyo unadhani viongozi wa yanga watakubali kuaibika, lazima serikali itaingilia kati na siasa itatumika ili ishu imalizwe kimya kimya, kama kikwete alikiri kuwa bongo kuna match fixing ya kuhonga wachezaji ili wacheze chini ya viwango wewe unabisha kama nani
 
Kucheza fainali shirikisho, sijui kudraw na Mamelod hakuhalalishi kushinda kila mechi. Mbona huzungumzii ya CAF msimu huu kwa kushindwa kufuzu kundi bovu kama lile.Ni punguani tu atawewekea dhamana uto kuwa hawawezi kuhonga ili washinde wakati mara kwa mara wanapigwa faini kwa kupita mlango usio rasmi na hawaachi.
Hiya simba yako imeshapigwa mara ngapi na yanga
 
Simba waliitegemea Fountain Gate iwe kigoda chao kwenye mtelemko kuzuia gari lao lenye hitilafu kwenye mfumo wa brake lisitumbukie korongoni; kelele ziliongezeka baada ya Yanga kukiondoa kigoda chao. Kelele nyingi zilisikika zikotoka Simba kuliko Fountain.
Mimi natamani muendelee kufanya match fixing ili mkikutana na timu zinazocheza mpira kweli huko kimataifa muendelee kuishia hatua za awali, hayo mambo ya vigoda sijui nini ni mawazo yenu tu wanasimba wanatamani leo kesho derby ichezwe maana mnaamini bado mna timu ya kuwafunga simba, kwa akili ya kawaida tu kama mlihangaika kupata ushindi timu ikiwa na kina mutale na mavambo na asilimia kubwa ya wachezaji wakiwa wageni huku ninyi mkiwa full mkoko.. mkaishia kupata kagoli kamoja ka kujifunga ndio mnategemea mpate ushindi kwa simba hii iliyoimarika!!
 
Hata kama ni kweli kafanya hivyo unadhani viongozi wa yanga watakubali kuaibika, lazima serikali itaingilia kati na siasa itatumika ili ishu imalizwe kimya kimya, kama kikwete alikiri kuwa bongo kuna match fixing ya kuhonga wachezaji ili wacheze chini ya viwango wewe unabisha kama nani
Mngeanza nyie kwanza Simba kuonesha mfano kisha kuja kuleta ushahidi kuwa serikali iliingilia kati kuzima tuhuma za rushwa za Yanga. Maana hata nyie Simba viongozi wenu waliwatuhumu wachezaji wenu kupokea rushwa katika kipigo cha goli tano lakini cha ajabu mashabiki na viongozi wakatulia tu kimya, pasipo kuonesha kuwa wana nia ya dhati kukomesha rushwa kwa kufungua kesi juu ya hao wachezaji wake.

Mashabiki mmekuwa kama mwanamke anayenyanyaswa na mumewe ndani ya nyumba na hana pa kukimbilia anabaki kulia lia tu kila siku. Kungekuwa na ukweli wa hizi tuhuma lazima ingepelekwa ushahidi kwenye mamlaka husika, au mnataka kusema Simba na Yanga zinapendana sana kiasi kwamba wanalindiana siri?
 
Back
Top Bottom