Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

Kwa hiyo simba imebaki vile vile tangu mlipoifunga ila nyinyi tu ndio mmeboreka? sasa wewe kariri kwamba kijili atajifunga tena.

Mimi nataka mkiwa Bora Ili niwapige vizuri msianze visingizio
 
Ni punguani tu atafikiria Noble hakupewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile
 
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa wote wa timu zote za ligi. Wamefungwa Simba, Azam na Singida wenye wachezaji ghali na fedha nyingi sana sebuse Foutain gates? Kama shida ilikuwa ni golikipa Noble kwanini wafungaji hawakufunga hata goli moja?

Hakuna golikipa ambae hawaogopi washambuliaji wa Yanga. Hofu ilisababisha Noble kufanya makosa kama yale. Wapeni Yanga sifa wanazostahili kupewa. Wachezaji hawahawa walioko Yanga wamecheza finali ya CAF Confederation, wametoka sare na Mamelods, wameshinda ngao ya jamii, ni watetezi wa kombe la ligi kwa mara ya 4 mfululizo, wameifunga Simba mara 4 mfululizo, wanaongoza ligi na wameingia nusu fainali ya CRDB cup. Ni punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Yanga wanajambo moja kubwa muhimu ambalo ni kukubali kurudiana kucheza na Simba SC pale bodi ya ligi itakapopanga Tarehe nyingine ya kufanyika mchezo huo.Niwazi kuwa hata ushindi wa round ya ya kwanza kunamazingira tata ya kushinda match hiyo yalifanyika.

Jana kilichofanyika Kwa kipa yule ni kuhalalisha madai ya wachezaji wa Tabora United kwamba waliombwa kulegeza kamba ili Yanga wapate ushindi na kuahidiwa kupatiwa fedha.

Ni wazi kwamba Rais mtafuu JAKAYA alishatoa nasaha na kuonya jinsi abavyo Yanga hushinda kimagumashi match zake. HILI HALIPINGIKI na ushahidi upo.

Kama mamlaka za soccer Tanzania zingeamua kufuata Sheria za soccer na kufanya chunguzi juu ya tuhuma mbalimbali, Ninahakika kati ya Simba na Yanga moja wapo lazima ingekutwa na hatia na kupewa adhabu Kali inayotokana na kujihusisha na vitendo vya rushwa. Yaani ni ngumu kama vile mwanasiasa wa CCM kukamatwa Kwa rushwa na Takukuru Kwa tuhuma za rushwa wakati wa uchaguzi.
 
Ndo mara ya kwanza kuona makosa ya golikipa?
Mbona unatulazimisha tukudharau
Makosa huwa yapo... tumeyaona kwa akina Camara, Kindoki au Kaseja enzi zao, lakini ya namna ile ya Noble jana yanaacha maswali yenye majibu rahisi
 
Kuwa mwanamichezo mkuu
Hayo ni magoli ya kawaida kama goli la kwanza kipa yeyote anafungwa

Goli la pili Kuna uzembe ndiyo lakini ndo raha ya mpira mtu afanye uzembe afungwe

Steven Gerrard alitoka pasi mkaa na timu yake ikapoteza ubingwa
 
Duuh kwani hujasikia kwamba jamaa amekutwa na meseji kwenye simu yake za kupewa rushwa, watu wanamlaumu huko kwamba naye ni mzembe kwanini anakaa na meseji kama hizo muda wote huo, anyway mimi natamani yanga waendelee kufanya match fixing hivi hivi ili wakifika kimataifa waendelee kuishia hatua za awali tu
Aliyemkuta na meseji ni nani? Zimeandikwaje na katuma nani? Baada ya hapo imechukuliwa hatua gani kisheria?
 
Mimi ni shabiki wa Yanga ila kwa jana nilichukizwa sana na upangaji matokeo wa kijinga namna ile kiasi kwamba baada ya goli la pili nikazima TV nikaendelea na ratiba nyingine.

Goli la kwanza ilikuwa simple gift na goli la pili ndio haliitaji hata akili ya kujua kutamka A ili kutambua kuwa lilidhamiriwa kumaliza mechi kizembe vile.
 
Aliyemkuta na meseji ni nani? Zimeandikwaje na katuma nani? Baada ya hapo imechukuliwa hatua gani kisheria?
Si ndio kasitishiwa mkataba with immediate effect au hujasikia hilo, hayo maswali ungewauliza viongozi wa fountain gate, nadhani wao ndio wangekupatia majibu sahihi
 
Duuh kwani hujasikia kwamba jamaa amekutwa na meseji kwenye simu yake za kupewa rushwa, watu wanamlaumu huko kwamba naye ni mzembe kwanini anakaa na meseji kama hizo muda wote huo, anyway mimi natamani yanga waendelee kufanya match fixing hivi hivi ili wakifika kimataifa waendelee kuishia hatua za awali tu
unataka kumpatia rushwa mchezaji et unamtumia na sms ni punguani tu anaweza kufanya ujinga huo ktllk dunia ya sasa
 
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa wote wa timu zote za ligi. Wamefungwa Simba, Azam na Singida wenye wachezaji ghali na fedha nyingi sana sebuse Foutain gates? Kama shida ilikuwa ni golikipa Noble kwanini wafungaji hawakufunga hata goli moja?

Hakuna golikipa ambae hawaogopi washambuliaji wa Yanga. Hofu ilisababisha Noble kufanya makosa kama yale. Wapeni Yanga sifa wanazostahili kupewa. Wachezaji hawahawa walioko Yanga wamecheza finali ya CAF Confederation, wametoka sare na Mamelods, wameshinda ngao ya jamii, ni watetezi wa kombe la ligi kwa mara ya 4 mfululizo, wameifunga Simba mara 4 mfululizo, wanaongoza ligi na wameingia nusu fainali ya CRDB cup. Ni punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Ni mpumbavu tu ambaye anaamini yanga inaweza kuihonga timu inayopambania kubali kwenye ligi kuu ( mpaka Sasa haina uhakika)

Wakati hakuna timu kuanzia ya pili mpaka ya mwisho ambayo haijafungwa na yanga.

Chasambi katika boko, kijili katoa boko, camara katoa boko, wakina ahoua na Ateba Wana kosa magoli wao na kipa ila yanehesabika ni makosa ya kibinadamu

Diara ametoa boko anaambiwa pazia

Wachezaji wakifanya dhidi ya yanga wanaambiwa wamekula rushwa

Hivi ingekuwa mchezaji wa fountain gate kapiga mshuti kama wa Chasambi mngesemaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20250422-181934.png
    Screenshot_20250422-181934.png
    1.3 MB · Views: 27
5imba yupo mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Al Hilal yupo CAFCL
Ila uto, hivi mnakumbuka kile kipindi mlipokuwa mnashiriki shirikisho mlikuwa mnafurahia kupanda ndege tu huku akina Gormahia wanajipigia?
 
Kipindi Yanga anashiriki shirikisho yalikuwa mashindano ya hadhi
Hadi mabingwa wa nchi walikuwemo
Ila CAFCC ya Sasa ni marufuku bingwa wa nchi yoyote kucheza shirikisho
Ndo maana Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama
 
Back
Top Bottom