ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kumbuka Yanga hazikucheza mashindano ya akina kama 5imbaKama mlishangilia sana kupangwa kundi moja na akina Mazembe na mkaishia makundi, sishangai kujihakikishia kuifunga simba.
Kumbuka Yanga hazikucheza mashindano ya akina kama 5imbaKama mlishangilia sana kupangwa kundi moja na akina Mazembe na mkaishia makundi, sishangai kujihakikishia kuifunga simba.
Ndio mashindano yalikuwa bora ila uto haikuwa bora na uto ikasubiri mashindano yawe ya akina mama ili ionyeshe ubora wa kufika fainali kwa akina mama wenzie.Kipindi Yanga anashiriki shirikisho yalikuwa mashindano ya hadhi
Hadi mabingwa wa nchi walikuwemo
Ila CAFCC ya Sasa ni marufuku bingwa wa nchi yoyote kucheza shirikisho
Ndo maana Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama
Yanga alikuwa bingwa alikuja kuchangamsha mashindano ya shirikishoNdio mashindano yalikuwa bora ila uto haikuwa bora na uto ikasubiri mashindano yawe ya akina mama ili ionyeshe ubora wa kufika fainali kwa akina mama wenzie.
Simba 5-Uto 0.Uto ni kikongwe underdog. Mmeingia mara ngapi makundi kulinganisha na Mnyama ndani ya miaka ishirini?Kumbuka Yanga hazikucheza mashindano ya akina kama 5imba
Level ya uto ni huko ,kwa wakubwa wenzie huwa anakaa hata miaka ishirini bila kuingia makundi,.au hujui?Yanga alikuwa bingwa alikuja kuchangamsha mashindano ya shirikisho
Lakini shirikisho ya Sasa Kuna akina coast union tu
Ndo maana Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina mama
Level ya mbumbumbu ni mashindano ya shirikisho ambayo Kwa Yanga hii ni takataka hata iweje Yanga hawezi kucheza shirikisho abadani hayo mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mamaLevel ya uto ni huko ,kwa wakubwa wenzie huwa anakaa hata miaka ishirini bila kuingia makundi,.au hujui?
Ndani ya miaka 30 uliko shiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndio level zako. Sasa wapi uto imeshiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndani ya hiyo miaka? Hata akina Sevilla level zao ni europa na sio UEFA.Level ya mbumbumbu ni mashindano ya shirikisho ambayo Kwa Yanga hii ni takataka hata iweje Yanga hawezi kucheza shirikisho abadani hayo mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Nimekwambia Yanga hii Kamwe haiwezi kucheza mashindano ya ovyo kama shirikishoNdani ya miaka 30 uliko shiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndio level zako. Sasa wapi uto imeshiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndani ya hiyo miaka? Hata akina Sevilla level zao ni europa na sio UEFA.
Uto akishiriki CAFCL ndie anakuwa underdogNimekwambia Yanga hii Kamwe haiwezi kucheza mashindano ya ovyo kama shirikisho
Hayo mashindano yenu ya UMISETA chezeni nyie mbumbumbu
Timu kubwa kama Yanga laZima icheze CAFCL
Vip 5imba ambaye yeye yupo UMISETA mashindano ya akina mama ndo giant?Uto akishiriki CAFCL ndie anakuwa underdog
Angalia club ranking ndio utajua yupi underdog.Vip 5imba ambaye yeye yupo UMISETA mashindano ya akina mama ndo giant?
Club rankings zitafaa nini timu la 5imba likiwa lipo mashindano ya akina mamaAngalia club ranking ndio utajua yupi underdog.
Mwalimu ramovic alisema yanga haipati upinzani wa kutusha ndio maana akaondoka zake team zinafungwa na yanga zinachekelea.Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa wote wa timu zote za ligi. Wamefungwa Simba, Azam na Singida wenye wachezaji ghali na fedha nyingi sana sebuse Foutain gates? Kama shida ilikuwa ni golikipa Noble kwanini wafungaji hawakufunga hata goli moja?
Hakuna golikipa ambae hawaogopi washambuliaji wa Yanga. Hofu ilisababisha Noble kufanya makosa kama yale. Wapeni Yanga sifa wanazostahili kupewa. Wachezaji hawahawa walioko Yanga wamecheza finali ya CAF Confederation, wametoka sare na Mamelods, wameshinda ngao ya jamii, ni watetezi wa kombe la ligi kwa mara ya 4 mfululizo, wameifunga Simba mara 4 mfululizo, wanaongoza ligi na wameingia nusu fainali ya CRDB cup. Ni punguani tu atafikiria Noble kapewa pesa ili afungwe kipumbavu kama vile. Kuna njia nyingi za kipa kufungwa kimazabe lakini huwezi kufanya kwa njia ile ya wazi kabisa; alizidiwa tu.
Hata 5imba hawezi kumpa challenge YangaMwalimu ramovic alisema yanga haipati upinzani wa kutusha ndio maana akaondoka zake team zinafungwa na yanga zinachekelea.
Ni sawa mechi iliahirishwa kihuni kwa kuiepusha simba na kipigo cha 5 mtawalia.Ahaa, kumbe misimamo inatofautiana? Si tumeshachapishiwa na jezi na tunauziwa na gcm?
View attachment 3312099
View attachment 3312100
Hayo mashindano simba anayohangaika nae kichawi, kupulizia na kununua waamuzi Yanga kacheza finali mwaka jana tu.Mngekuwa na timu bora msingekandamizwa kwa mkapa na timu average Kama Al hilal.Timu lenu ni average ila mashabiki maandazi mnaamini mna timu bora.
Fountain gate wanapigana vita ya wakala. Baada ya simba kuishindwa yanga kiwanjani wanatafuta njia za kuichafua Yanga mitandaoni ili ionekane kuwa Yanga haina uwezo ila inanunua matokeo. Bahati mbaya sana hata simba na azam na singisa na tabora na coastal na namungo na JKT ya Jemedari zote zimekong'otwa na yanga. Mara waitaje GSM kudhamini timu nyingi, wanahanyahanya tuSimba isiingizwe hapo. Fountain Gate wenyewe ndio wameituhumu Yanga kutoa rushwa kwa golikipa wao, na wakamsimamisha. Nadhani kama kuna nia ya kukabiliana na tuhuma hizo, basi njia nzuri ni kuwakabili walioitaja Yanga kutoa rushwa, na si kujificha kwenye kichaka cha siasa za Simba na Yanga
Sio kweli hiyo, ninavyoijua TFF na bodi ya ligi hii kama wangekuwa na ushahidi madhubuti wangeshaukabidhi kwa Mangungu, mo. Karia, Mnguto na Ahmed Ally fasta na Yanga ingeshakiona cha mtema kuniDuuh kwani hujasikia kwamba jamaa amekutwa na meseji kwenye simu yake za kupewa rushwa, watu wanamlaumu huko kwamba naye ni mzembe kwanini anakaa na meseji kama hizo muda wote huo, anyway mimi natamani yanga waendelee kufanya match fixing hivi hivi ili wakifika kimataifa waendelee kuishia hatua za awali tu
Zote na angeongoza lile kundiKwenye lile kundi la yanga, Simba anaweza kuifunga timu gani?
Kwani nani alimkataza 5imba kucheza CAFCLZote na angeongoza lile kundi