Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

Kama mlishangilia sana kupangwa kundi moja na akina Mazembe na mkaishia makundi, sishangai kujihakikishia kuifunga simba.
Kumbuka Yanga hazikucheza mashindano ya akina kama 5imba
 
Ndio mashindano yalikuwa bora ila uto haikuwa bora na uto ikasubiri mashindano yawe ya akina mama ili ionyeshe ubora wa kufika fainali kwa akina mama wenzie.
 
Yanga alikuwa bingwa alikuja kuchangamsha mashindano ya shirikisho
Lakini shirikisho ya Sasa Kuna akina coast union tu
Ndo maana Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina mama
 
Level ya uto ni huko ,kwa wakubwa wenzie huwa anakaa hata miaka ishirini bila kuingia makundi,.au hujui?
 
Level ya mbumbumbu ni mashindano ya shirikisho ambayo Kwa Yanga hii ni takataka hata iweje Yanga hawezi kucheza shirikisho abadani hayo mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
 
Ndani ya miaka 30 uliko shiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndio level zako. Sasa wapi uto imeshiriki mara nyingi na kupata mafanikio ndani ya hiyo miaka? Hata akina Sevilla level zao ni europa na sio UEFA.
 
Nimekwambia Yanga hii Kamwe haiwezi kucheza mashindano ya ovyo kama shirikisho
Hayo mashindano yenu ya UMISETA chezeni nyie mbumbumbu

Timu kubwa kama Yanga laZima icheze CAFCL
 
Uto akishiriki CAFCL ndie anakuwa underdog
 
Mwalimu ramovic alisema yanga haipati upinzani wa kutusha ndio maana akaondoka zake team zinafungwa na yanga zinachekelea.
 
Hata 5imba hawezi kumpa challenge Yanga
5imba amefungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
 
Mngekuwa na timu bora msingekandamizwa kwa mkapa na timu average Kama Al hilal.Timu lenu ni average ila mashabiki maandazi mnaamini mna timu bora.
Hayo mashindano simba anayohangaika nae kichawi, kupulizia na kununua waamuzi Yanga kacheza finali mwaka jana tu.
 
Fountain gate wanapigana vita ya wakala. Baada ya simba kuishindwa yanga kiwanjani wanatafuta njia za kuichafua Yanga mitandaoni ili ionekane kuwa Yanga haina uwezo ila inanunua matokeo. Bahati mbaya sana hata simba na azam na singisa na tabora na coastal na namungo na JKT ya Jemedari zote zimekong'otwa na yanga. Mara waitaje GSM kudhamini timu nyingi, wanahanyahanya tu
 
Sio kweli hiyo, ninavyoijua TFF na bodi ya ligi hii kama wangekuwa na ushahidi madhubuti wangeshaukabidhi kwa Mangungu, mo. Karia, Mnguto na Ahmed Ally fasta na Yanga ingeshakiona cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…