Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

Simba walitoa mlio hata baada ya Tabora kufungwa, wakatoa mlio baada ya Singida kufungwa, wakatoa mlio kwa Coastal na JKT. Kwanini ushahidi hautoki? na sio mwisho wataendelea kulia kama ng'ombe.

Aishi Manula, Igonga na Chama walikula rushwa Simba ipigwe 5; mbona ushahidi hautoki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…