Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Uchaguzi 2020 Kumsimamisha Lissu siku 7 ni fursa kwake au faida kwa Tume na CCM?

Pale mabibo walikua wanamdharau wanamuona kama mtoto tuu aliyekosa maadili. Kwa haya anayofanya tangu Jana amedharaulika zaidi
 
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISU KIPO CALCULATED.

Na Thadei Ole Mushi.

Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa kuingia mtaani inaweza kuendelea kuzivuna kwa njia Moja au nyingine...
That is why he has been a talk of the country since then. Very brilliant indeed. He is provoking his enemies to attack him blindly.
 
Kumbe wapiga kura ni wapumbavu[emoji106][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kwan ukiwa mpiga kura ndio huna upumbavu.

Labda nikuambie, Wapumbavu wa nchi hii ndio watakaoichagua CCM.

Narudia ni Mpumbavu pekee atakayeichagua CCM ,ndio maana Mzee Aliwaita WAPUMBAVU.

namimi nakazia, CCM ITACHAGULIWA NA WAPUMBAVU, WANAFIKI, WANAOUMIA KIMOYOMOYO LKN USON WANAJITAHIDI KUJICHORA WANAFURAHA .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikutano ya ndani na huku kutembea anakofanya Dar ni kupi kuna athari zaidi kwa wale waliokataza na waliowatuma? Hasira hasara
 
Back
Top Bottom