Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

NN kuna uzi uliosema 'Rais SSH kaharibia Wanawake wote....'' nadhani ndio umekutibua.
Nilivyoelewa, hoja ya mleta mada ni kwamba wale 'Mfuno Dume' wata prove theory yao kwamba hawa ni wa viti maalum na kuteuliwa tu.

Pili, Rais SSH na Wanawake wameanzisha tatizo na 'Mfumo dume' wanatumia fursa hiyo kikamilifu

1. Rais SSH alipoingia madarakani hoja au '' Mantra' ilikuwa ni Rais wa Kwanza Mwanamke, badala ya Rais

2. Watu wakaacha kumwita Rais wakamwita Mama kwa maana ana kitu zaidi kwa umama akiwakilisha Wamama

3. Rais SSH akafanya teuzi kama vile sasa ni zamu yetu ku prove Wanawake wanaweza (gender balance)
Akachaguliwa kuwa mwenyekiti wa vyeo na jinsia duniani.
Wanawake wanapovurunda hatuwezi kumtenga na wao ndio maana wanasema 'ameharibia...'

3. Wanawake wanakuja juu anapokosolewa kama Rais,wanasema ni kwasababu ni Mwanamke.
Rais anapovurunda hawezi kutengwa na wafuasi wake!

Urais wake ameufangamanisha na jinsia na alianzisha yeye, ana jukumu la ku prove kwamba jinsia inaweza.

Akishindwa ku prove, tutamfafanisha na Wanaume waliofeli kwa miaka 60 na hoja ya Wanawake wanaweza itakufa na hoja ya kubalansi jinsia itakufa. Huo ndio msingi wa hoja kwamba ameharibia jinsia nzima.
 
Wanawajumuisha wanawake hivyo kwasababu tu huyu wa sasa ndio Rais wa kwanza Mwanamke na kwa kawaida lazima watu watafute areas of weakness kama walivyofanya kwa Magufuli kusema ni Mkabila au Dikteta

Kwa huyu, kutokana na uwezo mdogo wa kuongoza wakamponda kwa jinsia yake...na hii ni common katika jamii za kiafrika kwa upande wa mwanamke tangu enzi

Hata kwenye familia nyingi za kiafrika...wanawake huwa wanaonekana hawawezi mambo mengi tu

Kuhusu tunachoweza kujivunia kama Watanzania mbele ya dunia sio jeshi ila muziki aina ya "SINGELI" tunapaswa kujivunia kama Waasisi, ila mengine yote tumeiga.
 
Wanawake chance yao ya kushika hiyo nafasi ya urais ni ndogo sana na ndio maana hata yeye Samia ameipata hiyo chance kama zali, kama Rais Samia angefanya vizuri basi pengine angebadili mitazamo ya watu juu ya wanawake katika masuala ya uongozi hasa kwa nafasi kama hiyo ya urais na kutanua hiyo chance yao.

Sasa kama Samia alichofanya ni kuonyesha kuwa wanawake nao hawawezi uongozi kama wanaume au wanafanyafanya makosa yaleyale kama wanaume basi bora tu wanaume tuendelee kushikilia hiyo nafasi. Kwa sababu Rais Samia aina ya uongozi wake unafananishwa na uliyokuwa uongozi wa Kikwete na Kikwete aliitwa Rais dhaifu ila sasa Samia anaonekana si tu dhaifu bali hana maamuzi yake kama Rais yani ni kama kuna wenye kufanya maamuzi ya mwisho na yeye anaidhinisha anapelekwa pelekwa hana analolijua, sasa kama hiyo inachangiwa na jinsia yake basi bora wanaume.
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao[emoji3]. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces [emoji3577].
Kwa kifupi Mwanamke hapaswi kupewa madaraka makubwa ya kuongoza nchi,anapaswa aongozwe.
Kama Mungu mwenyewe aliyemuumba Mwanamke kaagiza kuwa Mwanaume ni kichwa(Kiongozi) na Mwanamke ni msaidizi,sisi ni nani ata tupinge!!
Kwani uko Uchina, Urusi na Marekani hakuna wanawake? mbona hawapewi usukani!
Mwanamke labda awe Chifu wa Kabila maana kule mfumo wao wanaongozwa na mizimu kufanya maamuzi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
hili nalo linakuuma, linakuumiza, linakukwaza na kukusumbua kichwa kweli?

kwani maoni na mtazamo wako ukiwa kushoto na wengine kulia dhidi ya uwezo wa kiutendaji wa huyu muMama kuna shida gan?

kwani ni nini iko mbaya wewe usipoona na usiporidhika na mafanikio ya kimaendeleo ya huyu muMama na wengine wakaona na kuridhishwa na kazi na kasi ya kimaendeleo iliyoletwa na iliyochochewa na huyu muMama?

nimefurahishwa sana na mtazamo wako kwamba huyu muMama hajafanya vya kutosha na kwahivyo hastahili kuwa kielelezo au kiwakilishi cha kwamba wanawake wanaweza.
Nimefurahishwa zaidi na sifa kedekede ulizompatia huyu muMama kwenye uimara na ukubwa wa Jeshi letu.

Lakini nafurahi mno kwa maoni ya wengine kuwa huyu muMama anaupiga mwingi sana kwenye Elimu, Afya, Maji, miundombinu, madini, utalii, biashara, Demokrasia, utawala bora, ajira na kwa ujumla, kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.

Nafurahi mno na mitazamo tofauti dhidi ya utendaji wa wa huyu muMama.
 
Mbona Bangladesh inaongozwa na mwanamke!

New Zealand, Israel, Italy, Australia, Indonesia, Brazil, Korea Kusini, Denmark, Finland, Thailand, n.k, kote huko kumeshakuwa na viongozi wa nchi/ serikali ambao ni wanawake!

Au hujui hilo?
 
hili nalo linakuuma, linakuumiza, linakukwaza na kukusumbua kichwa kweli?

kwani maoni na mtazamo wako ukiwa kushoto na wengine kulia dhidi ya uwezo wa kiutendaji wa huyu muMama kuna shida gan?

kwani ni nini iko mbaya wewe usipoona na usiporidhika na mafanikio ya kimaendeleo ya huyu muMama na wengine wakaona na kuridhishwa na kazi na kasi ya kimaendeleo iliyoletwa na iliyochochewa na huyu muMama?

nimefurahishwa sana na mtazamo wako kwamba huyu muMama hajafanya vya kutosha na kwahivyo hastahili kuwa kielelezo au kiwakilishi cha kwamba wanawake wanaweza.
Nimefurahishwa zaidi na sifa kedekede ulizompatia huyu muMama kwenye uimara na ukubwa wa Jeshi letu.

Lakini nafurahi mno kwa maoni ya wengine kuwa huyu muMama anaupiga mwingi sana kwenye Elimu, Afya, Maji, miundombinu, madini, utalii, biashara, Demokrasia, utawala bora, ajira na kwa ujumla, kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.

Nafurahi mno na mitazamo tofauti dhidi ya utendaji wa wa huyu muMama.
Babble on!
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao[emoji3]. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces [emoji3577].
Bandiko limekaa poa sana, kula like mkuu
 
Yes, but perception is just that! Perception.

Wanaume wangapi wameharibu na hatusemi wanaume hawafai kuongoza?
Pia hata kwenye kashfa nyingi za ukwapuaji wa rasilimali za nchi ni wanaume ila Wala hatuwahukumu Kwa jinsia zao bali Kwa makosa yao, ila Kwa Samia inahukumiwa jinsia yake ilhali site tumetokana na hawa na hawa ndio walimu wetu wa mwanzo kabisa kupitia uimara na mafundisho na malezi ndio hii Leo tuko hapa.
 
Wanawake kutawala nafasi ngumu kama hizi si rahisi. Hata nchi first class kama USA bado hawajaweza kumpa kiti mwanamke!

Issue sio Samia tu, ni uwezo wa mwanamke kuongoza tena kwenye mazingira ya Afrika yenye mizizi ya mfumo dume.

Hata Mungu mwenyewe hakuwahi kukusudia kumfanya mwanamke mtawala kuanzia uumbaji hadi mamlaka za kidini mara chache mno mwanamke kuinuka dhidi ya mwanaume.

Hata Mama Samia ukimsikiliza hotuba zake nyingi utagundua kuna weakness ya uanamke wake anaojaribu kujitutumua lakini inashindwa kujificha kabisa.
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao[emoji3]. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces [emoji3577].
Asante Mkuu Nyani Ngabu Kwa andiko lako.
Lakini naona hujasema yote.
Yaani bado hujasema.
Hapa mpaka useme.

Walioanzisha ligi ni wale walioleta hoja ya "Mama kuupiga mwingi" wakihusisha kauli hiyo na jinsi yake. Walisema mengi na mpaka Leo wanasema "Mwanamke" kaweza yaliyowashinda Wanaume 5.

Nilimsikia Mzee mmoja aliyehidumu awamu zote akisema yaliyofanywa na wanaume miaka 60, Mwanamke kayafanya Kwa miaka 2 tu.

Kwa nini anaposifiwa Kwa jinsi yake inakuwa Sawa lakini hamtaki akosolewe Kwa jinsi yake?

Nasubiri jibu toka Marekani.
 
Uko sawa.

The bad has a tendency to outweigh the good. Na pengine ndo maana sikulitaja hilo la yeye kusifiwa kutokana na jinsia yake.

Vyote viwili mimi navipinga.

Kwanza hakuna kabisa chochote kile alichokifanya yeye [Samia] kwa miaka miwili ambacho kiliwachukua wanaume watano kukifanya kwa miaka 60.

Umeme huu hata yeye umemshinda.

Good observation and good point!
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
Kwa wanawake wa kiafrika bado sana kustahili kupewa uongozi wa juu wa nchi. Kimila na kitamaduni za kiafrika mwanamke lazima awe chini ya mwanamme, amsikilize, anaheshimu na kumtii. Ndilo tatizo la samia, kuna remote control za wanaume zinazomuendesha
 
Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
Duh..
Una hoja serious halafu unachomekea mzaha kama huu?!! Umeharibu bro.

Unaona sasa kuna wadau wanafikiri umesema kweli..
👇👇
Kumbe jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani, hii ni habari mpya.
 
Uko sawa.

The bad has a tendency to outweigh the good. Na pengine ndo maana sikulitaja hilo la yeye kusifiwa kutokana na jinsia yake.

Vyote viwili mimi navipinga.

Kwanza hakuna kabisa chochote kile alichokifanya yeye [Samia] kwa miaka miwili ambacho kiliwachukua wanaume watano kukifanya kwa miaka 60.

Umeme huu hata yeye umemshinda.

Good observation and good point!
Asante Kwa appreciation.

Nadhani Sasa umeona tatizo la nchi hii ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. Kumejitokeza mtindo wa watu kujipendekeza na kutafutiza sifa Kwa viongozi hata zisizowastahili. Kwa bahati mbaya wanaosifiwa hawabagui sifa. Ni kama wewe Leo Mtu aseme "Nyani Ngabu ni Mtanzania wa Kwanza kuishi Marekani" na wewe unatikisa kichwa Kwa tabasamu.
Leo anaitwa;
Shabiki No.1 wa soka.
Chief of Chiefs.
Mcheza Ngoma No.1 nchini.
Msanii Bora nchini.
Na mengine mengi lakini anayepokea akiamini yanamwongezea kupendwa wakati ni Wazi mengi hayamstahili.

Kiongozi alituambia yeye ni Rais wa Tanzania mwenye jinsia ya kike. Nani alimuuliza jinsi yake? Kama alisikia watu wakisema huyu mwanamke hawezi kuwa Rais angewathibitishia Kwa kutenda kama Rais bila kuzingatia jinsi.

Wiki ijayo kuna mashindano ya "REDE". Mambo yanazidi kuzingatia jinsi. Yaani Taifa linakwenda kuchezeshwa rede na wanawake wanakwenda kuambiwa wamuunge mkono mwanamke mwenzao. Hivi akijagombea mwanaume kushindana naye, wanaume wakasema tumuunge mkono mwanaume mwenzetu hamtaita ubaguzi? Kaanzisha mwenyewe ligi inapomtafuna tusimsaidie kulalamika.
 
Back
Top Bottom