Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

Duh..
Una hoja serious halafu unachomekea mzaha kama huu?!! Umeharibu bro.

Unaona sasa kuna wadau wanafikiri umesema kweli..
👇👇
🤣🤣🤣

Hapo nilikuwa nachomekea chomekea tu.

Kuhusu mdau kufikiri nasema ukweli kuhusu jeshi letu…..hilo ni jambo zuri linalotuonyesha aina ya watu tulionao.
 
Hasty generalization fallacy is hardly a new thing in inductive reasoning.

But it is also true that most women are just life support systems for pussy.
 
Tatizo la nchi yetu siyo Samia ni mfumo mbovu hata umlete nani atakwama, tuna mifumo ya kijinga sn ya kutegemea akili ya mtu mmoja iwaze kwa niamba ya watu 61M
 
Wataje basi hao wanawake wa kitanzania wenye uwezo wa kumzidi Mama Dully kwa sifa za kushika nafasi ya Urais wa JMT. Wapo wang
 
Tulia Ackson
Samia Suluhu ..... Hovyooo kabisa ikitokea Tz tukatoa kiongozi mkubwa wa jinsia ya kike tutakuwa wapuuuzi.
 
Mkuu wanawake hawafai kuongoza. Hasa nafasi nyeti za juu kabisa.

Hata USA, wanatambua hili.

Hillary Clinton alipojaribu kinyang'anyiro cha kuwania Urais alichinjiwa baharini chini kwa chini kijanja.

Wanawake wana ongozwa na emotions sana sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wanawake chance yao ya kushika hiyo nafasi ya urais ni ndogo sana na ndio maana hata yeye Samia ameipata hiyo chance kama zali, kama Rais Samia angefanya vizuri basi pengine angebadili mitazamo ya watu juu ya wanawake katika masuala ya uongozi hasa kwa nafasi kama hiyo ya urais na kutanua hiyo chance yao.

Sasa kama Samia alichofanya ni kuonyesha kuwa wanawake nao hawawezi uongozi kama wanaume au wanafanyafanya makosa yaleyale kama wanaume basi bora tu wanaume tuendelee kushikilia hiyo nafasi. Kwa sababu Rais Samia aina ya uongozi wake unafananishwa na uliyokuwa uongozi wa Kikwete na Kikwete aliitwa Rais dhaifu ila sasa Samia anaonekana si tu dhaifu bali hana maamuzi yake kama Rais yani ni kama kuna wenye kufanya maamuzi ya mwisho na yeye anaidhinisha anapelekwa pelekwa hana analolijua, sasa kama hiyo inachangiwa na jinsia yake basi bora wanaume.
Sio Samia tu.

Hillary Clinton alipojaribu kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Marekani, nadhani kuna ka namna kalifanyika chini kwa chini asishinde.

Wanawake wanahofiwa sana, kuwa viongozi wa juu hasa kwenye sehemu nyeti.

Maana kwa wanawake wengi, Always Emotions overrides Logic.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Binafsi si amini ni yeye anatuongoza ila kuna remote imetulia mezani.
 
Hata wanawake wenyewe nadhani wanajijua.
FB_IMG_1696162750802.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Binafsi si amini ni yeye anatuongoza ila kuna remote imetulia mezani.
Unajua hata mwanzoni mwa uongozi wa Magufuli ilisemwa hivyo hivyo kuwa kuna remote kutoka msoga, inawezekana ilikuwa kweli ila baadaye hali ikachange.
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
Hivi Kiongozi hapo kwenye heading ..una maanisha Jinsi au Jinsia! Naona watu wanajadili hoja bila kujali wewe una maana gani...hebu fafanua kidogo!
 
Jinsi ni nini na jinsia ni nini?
 
Yaani unataka kufananisha mzee wa msoga na mama yako unayemtaja hapa serious kabisa. maana hata jiwe tu hakufikia kwa mzee wetu. Sasa huyo mama unamfananishaje na hao wazee watano. Jamani😂😂😂.
Ndugu zangu, mimi si mwanasiasa. Naomba msinukuu sana sifa hii nimeongea tu uhalisia.
Msoga ndiye mbovu kuanzia wa moyo na utendaji
 
Nadhani kama sijakosea thread iliyoamusha fikra/mjadala katika bandiko hili ni hii;

Rais Samia ameua ndoto ya Urais kwa wanawake wengine nchini!
 
Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.

Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.

Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.

Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!

Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].

Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.

Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;

1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.

How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?

2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?

Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.

Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?

Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?

Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?

Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.

Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.

But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?

Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.

Deuces ✌️.
Kwani nani kakudanganya kuwa mama ana uwezo duni?
 
Sio Samia tu.

Hillary Clinton alipojaribu kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Marekani, nadhani kuna ka namna kalifanyika chini kwa chini asishinde.

Wanawake wanahofiwa sana, kuwa viongozi wa juu hasa kwenye sehemu nyeti.

Maana kwa wanawake wengi, Always Emotions overrides Logic.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mama yako alishajaribu uongozi gani akashindwa au ameishia kuzaa na kulea tutusa kama wewe?🤣🤣
 
Back
Top Bottom