Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Inahitaji ujasiri kubadili hiyo hali, sioni kwa yeye kubadilika.Huyu sasa atabadilika lini kama ni hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahitaji ujasiri kubadili hiyo hali, sioni kwa yeye kubadilika.Huyu sasa atabadilika lini kama ni hivyo?
Nakubaliana na wewe mkuu.Inahitaji ujasiri kubadili hiyo hali, sioni kwa yeye kubadilika.
Shida mnaamkia kwenye ulevi kwanza. Ndio tatizo.Yaani unataka kufananisha mzee wa msoga na mama yako unayemtaja hapa serious kabisa. maana hata jiwe tu hakufikia kwa mzee wetu. Sasa huyo mama unamfananishaje na hao wazee watano. Jamani[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndugu zangu, mimi si mwanasiasa. Naomba msinukuu sana sifa hii nimeongea tu uhalisia.
Wala hajasoma chochote,amekurjpuka tu na kujiandikia,yeye ugomvi wake upo kwa mzee jiwe tu.Umesoma kweli na kuelewa nilichokiandika?
Naunga mkono hoja 👍👏Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.
Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.
Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.
Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!
Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].
Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.
Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;
1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.
How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?
2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?
Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.
Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?
Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?
Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?
Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.
Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?
Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.
Deuces ✌️.
Mzee nguruvi3,wakupe maua yako,na huo ulioandika ndio ukweli wenyeweNN kuna uzi uliosema 'Rais SSH kaharibia Wanawake wote....'' nadhani ndio umekutibua.
Nilivyoelewa, hoja ya mleta mada ni kwamba wale 'Mfuno Dume' wata prove theory yao kwamba hawa ni wa viti maalum na kuteuliwa tu.
Pili, Rais SSH na Wanawake wameanzisha tatizo na 'Mfumo dume' wanatumia fursa hiyo kikamilifu
1. Rais SSH alipoingia madarakani hoja au '' Mantra' ilikuwa ni Rais wa Kwanza Mwanamke, badala ya Rais
2. Watu wakaacha kumwita Rais wakamwita Mama kwa maana ana kitu zaidi kwa umama akiwakilisha Wamama
3. Rais SSH akafanya teuzi kama vile sasa ni zamu yetu ku prove Wanawake wanaweza (gender balance)
Akachaguliwa kuwa mwenyekiti wa vyeo na jinsia duniani.
Wanawake wanapovurunda hatuwezi kumtenga na wao ndio maana wanasema 'ameharibia...'
3. Wanawake wanakuja juu anapokosolewa kama Rais,wanasema ni kwasababu ni Mwanamke.
Rais anapovurunda hawezi kutengwa na wafuasi wake!
Urais wake ameufangamanisha na jinsia na alianzisha yeye, ana jukumu la ku prove kwamba jinsia inaweza.
Akishindwa ku prove, tutamfafanisha na Wanaume waliofeli kwa miaka 60 na hoja ya Wanawake wanaweza itakufa na hoja ya kubalansi jinsia itakufa. Huo ndio msingi wa hoja kwamba ameharibia jinsia nzima.
Wewe msimamo wako ni upi?!,hili nalo linakuuma, linakuumiza, linakukwaza na kukusumbua kichwa kweli?
kwani maoni na mtazamo wako ukiwa kushoto na wengine kulia dhidi ya uwezo wa kiutendaji wa huyu muMama kuna shida gan?
kwani ni nini iko mbaya wewe usipoona na usiporidhika na mafanikio ya kimaendeleo ya huyu muMama na wengine wakaona na kuridhishwa na kazi na kasi ya kimaendeleo iliyoletwa na iliyochochewa na huyu muMama?
nimefurahishwa sana na mtazamo wako kwamba huyu muMama hajafanya vya kutosha na kwahivyo hastahili kuwa kielelezo au kiwakilishi cha kwamba wanawake wanaweza.
Nimefurahishwa zaidi na sifa kedekede ulizompatia huyu muMama kwenye uimara na ukubwa wa Jeshi letu.
Lakini nafurahi mno kwa maoni ya wengine kuwa huyu muMama anaupiga mwingi sana kwenye Elimu, Afya, Maji, miundombinu, madini, utalii, biashara, Demokrasia, utawala bora, ajira na kwa ujumla, kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.
Nafurahi mno na mitazamo tofauti dhidi ya utendaji wa wa huyu muMama.
Nani kweli mwanamke anewahi kuiongoza Israel?, kwa nafasi gn?Mbona Bangladesh inaongozwa na mwanamke!
New Zealand, Israel, Italy, Australia, Indonesia, Brazil, Korea Kusini, Denmark, Finland, Thailand, n.k, kote huko kumeshakuwa na viongozi wa nchi/ serikali ambao ni wanawake!
Au hujui hilo?
Nani kweli mwanamke anewahi kuiongoza Israel?, kwa nafasi gn?
Bado,utasema tuh, shetani lishabakia mifupa hukoMsimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.
Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.
Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.
Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!
Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].
Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.
Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;
1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.
How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?
2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?
Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.
Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?
Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?
Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?
Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.
Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?
Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.
Deuces ✌️.
Tafuta kazi ufanye pimbi ww, awamu hii ya samia fursa kibao 'na mama hataki wafanyabiashara tutaabike kama enzi zake dikteta mmagufuliWanawake chance yao ya kushika hiyo nafasi ya urais ni ndogo sana na ndio maana hata yeye Samia ameipata hiyo chance kama zali, kama Rais Samia angefanya vizuri basi pengine angebadili mitazamo ya watu juu ya wanawake katika masuala ya uongozi hasa kwa nafasi kama hiyo ya urais na kutanua hiyo chance yao.
Sasa kama Samia alichofanya ni kuonyesha kuwa wanawake nao hawawezi uongozi kama wanaume au wanafanyafanya makosa yaleyale kama wanaume basi bora tu wanaume tuendelee kushikilia hiyo nafasi. Kwa sababu Rais Samia aina ya uongozi wake unafananishwa na uliyokuwa uongozi wa Kikwete na Kikwete aliitwa Rais dhaifu ila sasa Samia anaonekana si tu dhaifu bali hana maamuzi yake kama Rais yani ni kama kuna wenye kufanya maamuzi ya mwisho na yeye anaidhinisha anapelekwa pelekwa hana analolijua, sasa kama hiyo inachangiwa na jinsia yake basi bora wanaume.
Kwa nyie wagalatia ni sawaSuala la msingi ni kufahamu tu Mama Samia ni kiongozi duni
Ni ujinga tu,SAMIA anaendelea kutuambia kwamba wanawake kazi yao ni jikoni kupika tu na si kuongoza.Msimamo wangu unajulikana. Nausimamia bila chembe ya soni.
Na ndani kabisa katika kilindi cha moyo wangu, najua kuwa niko sahihi. Tena sahihi kabisa.
Lakini kuna suala moja ambalo nimeanza kuliona humu ambalo halinipendezi hata kidogo.
Hii habari ya kuuhusisha uwezo duni wa Rais Samia na wanawake wengine wote nchini!!
Nasoma soma hapa na pale pindi nipatapo wasaa wa kufanya hivyo humu [isomeke: pale mtu anaponinunulia salio la mtandao😀. Umaskini mbaya nyie watu….usikieni kwa mbali tu].
Naweza kusema mara nyingi sasa nimeona watu wakisema humu kuwa Rais Samia kathibitisha kuwa wanawake hawafai kabisa katika nyanja za uongozi…wengine wanasema kuwa Rais Samia ndo keshawaharibia fursa wanawake wenye ndoto za kupata nafasi za juu za kiuongozi, n.k.
Kuna makosa kadhaa hapo ya kimantiki ambayo yananifanya nihoji pia uwezo wa kiakili wa watu wanaoshikilia aina hiyo ya mitazamo;
1. Kushindwa kutenganisha uwezo wa mtu binafsi na badala yake kuuhusisha utovu wake wa uwezo wa kiuongozi na jinsia nzima yenye mamilioni ya watu nchini, ni uwezo duni wa kufikiri.
How come I am able to [easily] compartmentalize her serious lacking of leadership ability and separate it from her gender and therefore not lump all the women together with her? Seriously, how come?
2. Kosa jingine la kimantiki ni; Kama Rais Samia kaonyesha kuwa wanawake hawafai katika nyanja za uongozi wa juu kitaifa, ina maana wanaume ndo wanafaa?
Mpaka kufikia hivi sasa, kati ya marais 6 ambao tumewahi kuwa nao, watano ni wanaume. Mwanamke ni Samia tu.
Ina maana hao wanaume watano wote walifanya kazi maridadi sana katika vipindi vyao vya uongozi?
Walikuza GDP kwa viwango vikubwa sana? Waliboresha viwango vya maisha vya Mtanzania? Walitengeneza ajira nyingi na zilizo bora kwa Watanzania? Walifuta kabisa deni la taifa? Walikuza demokrasia? Walilinda na kutetea haki za watu?
Kama kuna kati ya hao watano wanaume ambao hawakuwa viongozi wazuri, kwa nini hatukusikia maneno ya kuwa hao ambao hawakuwa viongozi wazuri wamethibitisha kuwa wanaume hawafai kushikilia nafasi za juu za kiuongozi nchini?
Zaidi ya miaka 60 ya uhuru, Tanzania bado ni nchi maskini ya kutupwa. Tuko wa mwisho mwisho karibu kwenye kila kigezo cha ubora wa maisha.
Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
But seriously, kama marais wanaume ambao hawakuwa na uwezo mzuri wa kiuongozi hawatumiki kuwa ndo kigezo cha kusema kwamba wanaume hawafai kuwa viongozi, kwa nini Samia ndo atumike kama kigezo cha kusema kwamba wanawake hawafai kuongoza?
Ambaye hafai ni Rais Samia. Siyo wanawake.
Deuces ✌️.
Kwahiyo mkuu unataka uniambie samia akitaka kuongoza kiukali na kudhibiti watu wasihojihoji kama alivyofanya magufuri hawezi?Mwepesi kwenye kila kitu kasoro mwili tu.
Hivi kumbe huwa una huu upuuzi wa udini udini??Kwa nyie wagalatia ni sawa
Jeshi hili hili linalosaka jezi zake kwa wananchi ndilo lipo nafasi ya 6 kwa ubora duniani?Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
Haya nigee hilo t*k* nilifanyie kazi.Tafuta kazi ufanye pimbi ww, awamu hii ya samia fursa kibao 'na mama hataki wafanyabiashara tutaabike kama enzi zake dikteta mmagufuli
Kaliffilllll@e la mmamakoHaya nigee hilo t*k* nilifanyie kazi.