ChaiMkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...
Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...
Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...
Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Hawa waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Huyo jamaa ni occultic prophet. Kuna mwingine anaitwa David Richard, yeye kuongea nae kwa zoom meeting ni laki tatu na nusu. Wajinga wengi wanaliwa hasa. Yesu yu karibu malangoniUkifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
hahhaaa nimechekaMkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...
Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...
Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...
Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
We nae kwa kila nabii umo🙄Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo nilipomjua YESU aliyehai...
Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...
Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa
Bwana YESU atukuzwe
Wapi umeniona?We nae kwa kila nabii umo[emoji849]
...na wa kiisilamu pia, idadi yao si haba!Kuhani au mganga wa kienyeji mwenye waumini wa kikristo
Dunia simama Mimi nishuke ukirudi nipitie tuondoke wote Leo hii swala la kiimani tunanunua kwer 🙏Eeeeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu zaid wakati wote nikuombapoUkifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Kishakamatika mtu apaWapi umeniona?
Kwa Mwamposa nimeshuhudia ushuhuda wa mtu ..
Siku zote nasema habari za Kuhani Musa
Kishakamatika mtu apa
Hata mimi niliacha ni upuuzi tuNdio maana niliacha kusali mimi ah yanini ujinga huo.
Kumbe wewe ni chhiziMkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...
Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...
Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...
Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Cchiz weweSijalipa hata Senti kumi, nilikuwa naenda ibadani, ila sio kila mara, na nasikiliza neno kwa Tv na Redio...
Mi ni Muanglicana na ndio nasali hata sasa...
Nikakuza Imani yangu kwa Yesu ..
Neno la Mungu linasema;
Waaminini Manabii mtafanikiwa, niaminini mimi mtathibitika
Nipe ufafanuzi zaidi maana naona kama uwakala unazidi kutapakaa unabii wa uongo upojeNani anikamate, Sina ushabiki hapa ..
Huwezi yumbisha Imani yangu wewe wa Dunia, Yesu ni mmoja anahubiriwa na watu wengi,
🤣🤣🤣🤣🤣Mganga aliyechangamka
Yaani hela atoze kuhani Musa,wewe uache kusali!Ndio maana niliacha kusali mimi ah yanini ujinga huo.
Duh, hapo husikii kitu zaidi ya Mussa! Mumeo kazi anayo! Eti madhabau! Acheni kumtania Mungu!Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...
Ndio yupoje huyo mganga chief🤣🤣🤣🤣🤣
Nishazoea kuitwa hivyo ..Kumbe wewe ni chhizi
Cchiz wewe
Anajifanya mtakatifu mnoo.We nae kwa kila nabii umo🙄
Dunia simama Mimi nishuke ukirudi nipitie tuondoke wote Leo hii swala la kiimani tunanunua kwer 🙏Eeeeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu zaid wakati wote nikuombapo