Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Yesu akamjibu shetani: Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako.
Saaa shetani anajua uungu wa Yesu na kusema Ikiwa u mwana wa Mungu, na SI mwana wa Yusufu,
WEWE ushindweje kujua kuwa Yesu ilikuwa lazima ajishushe sababu Yu mfano wa wanadamu?
Uamuzi ni wako sasa, usipoteze muda 🙏
Wewe huonekani kichaa mtumishi.. 🙂Wewe ni KICHAA HASWA😁Sawa,
Hata Yohana Mbatizaji, Yesu mwenyewe alionekana kichaa mbele ya vichaa waliodhani ni timamu.
Usipoteze muda Bure, ikiwa unamwamini Mungu na usijue jina la Mungu mmoja wa pekee unayemwamini ni Yesu Kristo Yeshua Hamashiach, unapoteza muda.
We ni *****, uwe unasoma unaelewa utaliwa chako...Je hao viumbe wengine samaki,kuku,kenge,nk kwao ni wapi na watarejea lini baada ya kumaliza mission zao?
Acha ujinga badilika na usnze kutumia akili zako za asili na siyo za kulishwa na kukaririshwa
Ni kweli kabisa,Wewe huonekani kichaa mtumishi.. 🙂Wewe ni KICHAA HASWA😁
Wewe umezini na wangapi mpaka ukajua kuwa huwa wanazini na viongozi makanisani?Mafarisayo hawajawahi kuisha, wapo hata sasa,
Wengine wanazini na ni viongozi makanisani, ukiwahoji wanajibu eti wanawabariki wanapozini na waumini,
Haya ngoja tuone
Nawewe kasome hiiMwambie Asome
1 Timotheo 5:8
"Lakini mtu ye yote asiyewajali walio wake, yaani, hasa wale wa nyumbani mwake, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko asiyeamini."
Kwa hii comment,Mungu kuja Katika mwili wa Mwanadamu ni ujasusi tosha,
Isingekuwa rahisi aseme hadharani, Mimi ndiye Mungu baba,
Mungu alikuja duniani Katika mwili wa Mwanadamu kiujasusi kwa kazi ya kukukomboa Mwanadamu ndio maana aliitwa mtoto wa Yusufu hakubishana,
Baada ya kufufuka na kupaa mbinguni akitwaliwa na wingu, ndipo watu wakajua kumbe Yesu hakuwa mwana wa Yusufu asiye na baba wala mama!
Mungu ni mmoja tu,
Mbinguni aitwa Baba.
Duniani aliitwa mwana alipovaa mwili,
Akiwa ndani ya wamwaminio at once aitwa Mungu Roho mtakatifu.
Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Nikuulize swali,Kwa hii comment,
Nmegundua Wee jamaa ni mweupe Sana khs dini, wee ni type ya kina kibwetele😀
Which god?My name is Alisina and I don't believe in your god'
We ni *****, uwe unasoma unaelewa utaliwa chako...
Mtu hana rangi,Wewe ndivyo ulivyoelewa na siyo kwamba wewe ndiyo uko sahihi kwa ulivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA
Si ndo kina nyie sasa.Wewe ndivyo ulivyoelewa na siyo kwamba wewe ndiyo uko sahihi kwa ulivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA
Mungu kuja Katika mwili wa Mwanadamu ni ujasusi tosha,
Isingekuwa rahisi aseme hadharani, Mimi ndiye Mungu baba,
Mungu alikuja duniani Katika mwili wa Mwanadamu kiujasusi kwa kazi ya kukukomboa Mwanadamu ndio maana aliitwa mtoto wa Yusufu hakubishana,
Baada ya kufufuka na kupaa mbinguni akitwaliwa na wingu, ndipo watu wakajua kumbe Yesu hakuwa mwana wa Yusufu asiye na baba wala mama!
Mungu ni mmoja tu,
Mbinguni aitwa Baba.
Duniani aliitwa mwana alipovaa mwili,
Akiwa ndani ya wamwaminio at once aitwa Mungu Roho mtakatifu.
Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Kwani WEWE unapovua nguo ukienda kuoga huwa inakuwa huna mwili?Sasa alipouvaa mwili na kuja duniani kama mwana je mbinguni kulibaki vacant?.