Agreycharles
Member
- Jan 22, 2020
- 78
- 148
Jamaa kajiebisha sana sijui ata ambia nini watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani Hamida atakavyokumbuka hiyo picha ndiyo atazidi kumkataa kabisa maana mashost watamcheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo inbox basiHamida
Swahiba Mi ntahudhuria kwa kweli nipate kujua mbinu alizozitumia Hamida mpaka kumfanya jamaa agare gare kiasi hicho. [emoji3][emoji3][emoji3]
Yeah, aliporwa na Katibu wa Serikali na waziri wazamani vital karmehe
Duuh kumbe? Daah kweli kina Hamida kibokoYeah, aliporwa na Katibu wa Serikali na waziri wazamani vital karmehe
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha
Sakafu imepakwa mafuta ili asichubuke wakati anajigalaza. Sinema hio au zile youtube tv clips
Huyu hana hela ukiwa na hela kuachwa utakusikia kama historia.
GOD is GOOD
mbaya zaidi formula sijaijua oelse itakuhusu hadi weweHivi cha kushangalia ni nini hapo Dada [emoji3]?
Bado zamu ya unaye mtag hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mademu wenye majina ya Farida wanajua sana mapenzi, utafikiri walisomea chuo.
From experience
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kwa kunikumbusha. Akina Hidaya wako poa pia
Nimemuonea huruma tu ingawa ndio stage nzuri ya kutolewa uvulana... Akikaa fresh atarudi kwenye group la "wanaume ndivyo mlivyo"
Hii ilikua zamani kamandaAfadhali huyo jamaa ni mchaga kamaliza asira zake kwa kugalagala,
Angekuwa muhehe keshajinyonga zamaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Psychologically jamaa hayuko sawa, na ana ishara zote za kujidhuru au kudhuru mtu (hata huyo Hamida pindi akijihakikishia hana namna ya kumrudisha tena), anahitaji sana msaada wa kitabibu counselling na mental health expert...Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ...
Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls..
NB Hatumtafuti kwa ubaya
Mimi ninafanya kazi kwenye media X
Lengo la kumtafuta ni kufanya nae Interview...
View attachment 1331928
Sent using Jamii Forums mobile app