Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Wazungu baada ya kuona ndoa haina maana wameacha wake zao hivi sasa wanatinduana menyewe kwa menyewe je na wewe uko tayari kumiminwA?

Naheshimu mtazamo wako, ila kumbuka wazungu ndio waliwaletea hizo "ndoa" na imani unayoamini pia, kabla ya hapo mlikuwa mapangoni na maisha ya kula mizizi yanaendelea tu poa.
 
Nashukuru kwa uelewa wako, hali ni mbaya sana, ndo maana vijana smart swala la kuoa linatufikirisha sana, wengine tunafikria kuzalisha tuu na kubaki kama walezi
 
Kuna wazee wanawajaza sana ujinga vijana wanawahamisisha waoe na ukiangalia uchumi wao haueleweki eti mke anakuja na baraka

Wanawaambia utakachokula ndio hichohicho atakula mkeo

Sasa ugali wa mtu mmoja ni sawa na wa watu wawili?

Vijana tengenezeni uchumi kabla hamjaoa la sivyo mtawarithisha watoto wenu umasikini
Kabisa vijana wanakimbilia kuzaa watoto wakidhani wanapopoa maembe mtini.

Maisha yakisha wapiga kisawasawa wanakuja hapanJF kulia lia kuomba ushauri na msaada.
 
Kuna circumstance za maisha zinaweza kutokea ukiwa above 60 utamuhitaji sana huyo mke, hapo watoto wote na wao wanahangaika na maisha yao, ndipo utakapouona umuhimu wa ndoa
Kwa taarifa yako: mkizeeka wanao watakuwa busy na mama yao. Wewe utatelekezwa ubaki unatia huruma. Jiandalie future yako mwenyewe ikiwemo plan ya kusubiria kifo uzeeni.
 
Unfortunately, hata huyo feminist akiwa anaihitaji ndoa ata-act ni a traditional woman. Jichanganye uone kitakachokukuta.
 
Let this sink in.
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Kuna ile nyingine pacha na hii inasema kila mtoto anakuja na riziki yake. 🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Au labda tubadilishe swali: Lulu aliongeza nini kwenye mafanikio ya Majizo?
 
Jacqueline aliongeza nini kwenye mafanikio ya Reginald Mengi?
 
Lengo la feminism ni kumshusha mwanaume ili mwanamke aonekane yupo juu.
 
Hauwezi kuchagua mwenza kama simu. Huyo ni binadamu, na wanadamu tunabadilika. Anaweza kuwa mwema sana mwanzoni, halafu baadaye akawa mwema zaidi au mwovu.
 
Na wakishindwana, mwanaume ndiye ana-pay the price. 😁
 
Haina uhusiano wa moja kwa moja:
  • Unaweza kuchovyachovya na ukapata aliyechovywachovywa
  • Unaweza kuchovyachovya ukapata aliyetulia
  • Unaweza kutulia na ukapata aliyechovywachovywa
  • Unaweza kutulia na ukapata aliyetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…