Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Mwanaume mbishi mbishi na Mjuaji kweli ataona ndoa ni chungu na haina faida.
Wanaume waelewa wanajua utamu wa ndoa na Wala hakuna hayo unayoeleza.

Ndoa ni kuelewana wote wawili kuwa kitu kimoja.

Uanze kuchepuka nani akuache wewe adhabu ni kupukutisha mali zako unazoshindwa kuzitumia kwa akili. 😜😜😜
 
Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa πŸ€”
Hakuna shule ya kufundisha kanuni za maisha ya ndoa masta take it from me mtakaririshwa hivyo hivyo kanuni za kwenda kuajiriwa etc lakini hiyo sahau.

Kwamba mkeo CEO sijui manager ufundishwe utaishi nae hivi au vile?na kwanini kuoa mke aliyejikomboa kiuchumi usioe mlio sawa ili nguzo uwe wewe?ukitaka dezo utaumia inajulikana mwanamke na mali ni maji na mafuta wewe ukajichanganye kisa hukufundishwa shule namna ya kuishi nae uje kushambulia taasisi ya ndoa?
 
Yani kwangu mimi nikitaka kuoa nitaoa hata waziri ,mwanamke ni mwanamke tu na mimi ni mwanaume na maisha yataenda kwa kila mmoja kumheshimu mwenzake.
 
Nyakati zinabadilika. Kama ulichokofanya wewe kilikua sahihi katika nyakati zako basi usiwadanganye wengine kufanya ivyo ivyo katika nyakati ambazo kanuni za mtaa zimebadilika.
 
Sio kweli., kuoa kunapunguza kasi ya mafanikio kwa sababu majukumu yanaongezeka maana yake gharama za maisha zinapanda, labda kama uyo mwanamke atakua na mchango wa kiuchumi.
Kitendo cha kukupikia na kukufulia tayari huo ni mchango wa kiuchumi.

Fikiria ungepoteza muda kiasi gani kufanya usafi, au ungeenda kula migahawani vyakula vyenye gharama.
 
Mkuu Kwann utumie hela hovyo mwanamke ndio awe budget manager wako uko serias
Mara nyingi iko hivyo, mwanamke atakuuliza mshahara wa mwezi huu umefanyia nini?

Hilo litakufanya usitumie hovyo kwa kuogopa kukosa amani nyumbani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…