Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.

Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.

Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.

Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.

Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.

Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Mwanaume mbishi mbishi na Mjuaji kweli ataona ndoa ni chungu na haina faida.
Wanaume waelewa wanajua utamu wa ndoa na Wala hakuna hayo unayoeleza.

Ndoa ni kuelewana wote wawili kuwa kitu kimoja.

Uanze kuchepuka nani akuache wewe adhabu ni kupukutisha mali zako unazoshindwa kuzitumia kwa akili. 😜😜😜
 
Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa 🤔
Hakuna shule ya kufundisha kanuni za maisha ya ndoa masta take it from me mtakaririshwa hivyo hivyo kanuni za kwenda kuajiriwa etc lakini hiyo sahau.

Kwamba mkeo CEO sijui manager ufundishwe utaishi nae hivi au vile?na kwanini kuoa mke aliyejikomboa kiuchumi usioe mlio sawa ili nguzo uwe wewe?ukitaka dezo utaumia inajulikana mwanamke na mali ni maji na mafuta wewe ukajichanganye kisa hukufundishwa shule namna ya kuishi nae uje kushambulia taasisi ya ndoa?
 
Hakuna shule ya kufundisha kanuni za maisha ya ndoa masta take it from me mtakaririshwa hivyo hivyo kanuni za kwenda kuajiriwa etc lakini hiyo sahau.

Kwamba mkeo CEO sijui manager ufundishwe utaishi nae hivi au vile?na kwanini kuoa mke aliyejikomboa kiuchumi usioe mlio sawa ili nguzo uwe wewe?ukitaka dezo utaumia inajulikana mwanamke na mali ni maji na mafuta wewe ukajichanganye kisa hukufundishwa shule namna ya kuishi nae uje kushambulia taasisi ya ndoa?
Yani kwangu mimi nikitaka kuoa nitaoa hata waziri ,mwanamke ni mwanamke tu na mimi ni mwanaume na maisha yataenda kwa kila mmoja kumheshimu mwenzake.
 
Mbona maisha yanageuzwa vita?kwa asiyekuwa na utulivu wa kusoma na kuchanganua vitu ili kuelewa vitu vya hovyo kama hivi kwake kuvifuata huwa haraka sana.

Mimi nimeoa mke tunanaishi nyumba niliyojenga mwenyewe kwa hela zangu hakuna siku nimewaza atanifanyia visa na kwanini nianze kuwaza hivyo?unfortunately wanaoandika hizi mada ni vijana aged 26 to 33 hawajui lolote kwenye maisha ya ndoa,uniambie mimi ni mtumwa wa mke wangu?amenizalia watoto watatu leo eti mtumwa wake kuna boss anakubali kuzalishwa na mtumwa?
Nyakati zinabadilika. Kama ulichokofanya wewe kilikua sahihi katika nyakati zako basi usiwadanganye wengine kufanya ivyo ivyo katika nyakati ambazo kanuni za mtaa zimebadilika.
 
Sio kweli., kuoa kunapunguza kasi ya mafanikio kwa sababu majukumu yanaongezeka maana yake gharama za maisha zinapanda, labda kama uyo mwanamke atakua na mchango wa kiuchumi.
Kitendo cha kukupikia na kukufulia tayari huo ni mchango wa kiuchumi.

Fikiria ungepoteza muda kiasi gani kufanya usafi, au ungeenda kula migahawani vyakula vyenye gharama.
 
Mkuu Kwann utumie hela hovyo mwanamke ndio awe budget manager wako uko serias
Mara nyingi iko hivyo, mwanamke atakuuliza mshahara wa mwezi huu umefanyia nini?

Hilo litakufanya usitumie hovyo kwa kuogopa kukosa amani nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom